Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi bhana ninamuda mrefu sana sijajipikilisha nyumban 😁tangu juzi nasema nikitulia nitapika maana Nina hamu sana ya kula chakula nilichopika mwenyewe.😳kila siku ni mbanano sasa leo nikasema hata iwe saa saba ndio narudi nyumbani ni lazima nipike hakuna namna😁
Na hiki ndicho ninachokipika muda huu🥰

Karibuni wanaselfika tule pamoja maana ninauhakika asilia buku nikashamaliza kupika hamu itakuwa imepotea 😁
 
Pole ndio maisha kupambana uduguu wangu [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Nilikumiss sana ujue ww ndio mdogo angu mnjuri njuri nikupendaye since day one humu jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakubaliiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupambanie life etu wenyewee, kuepuka kunyaswanyaswa. Huhuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti nimekuambukiza ukimwi Kantry, ila kuna vitu vinachekesha aiseee!!!
Hizi id zinazobadilika rangi ni tatizo aiseee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu tuma yako na wewe tuone minyama iliyojazia km kitumbua cha bi mwanakombo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ile video siku ile ilikuuma.?? Pole sana uduguu wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii mbona mnanipa kazii, nkitaka kuacha umbea na ukuda, bas mnakuja na mapyaa.
Sielewi
 
Bado hujasema mbona unaongea kwa kuogopa kupitia hii id, si ufunguke na mu id wako wa siku zote…!! Ya nini kujinyima raha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi da Shunie na hii ni id yake eeee?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeeee nasemajeee
JF sihamiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe uzi ulianza kuchachuka muda mi sikuona
Ulichachukaa toka long time uduguuu, kumbe mjep akawa ananinangaa huko mlimani city, nataman kujua walininanga vipiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nyiee JF ni Mbuga sio pori tena.
 
Ulichachukaa toka long time uduguuu, kumbe mjep akawa ananinangaa huko mlimani city, nataman kujua walininanga vipiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nyiee JF ni Mbuga sio pori tena.
Humu kuna mambo mengi sijaingia siku nyingi nakutana na mapya..
 
Mbona watafanya tupoteee ktk uso was JF, mie browser ndo siiwezi kabisaaa, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mbona samaki wengi sana hao...au mko familia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…