Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtu katoa pesa yake mwenyewe... iwe sate iwe laki ..kadinya kwa rungu lake mwenyewe awe amedinywa iliochapika ni tobo lake mwenyewe wewe unaweweseka kitu gani kama sio wenge???


Kama ni vocha si zake?? Nanyie wekeniii hizo vocha mfatwee basi!
Mnaona wivu hata watu wasiowahusu? namna ganiii arifu!??
 
Nyie Mambo ni hapahapaa Hakuna cha chocho??? Picha za Chocho sio salamaa Chocho chocho chocho mara mmeamua kwenda kupigia Huko Mlimani City kwenu sijui ndo wapi hata😁😁🤠🤠!

Mambo ni wazi hapahapaa 🙇🙇🙇
😂😂😂😂Kaa hapo hapo ccy nakubless.
 
Back
Top Bottom