Maajabu yanaendelea.πππkwenye hiyo list abaki karma tuππ.
Mimi Ni mzee kabisa
Haya ndio maneno...[emoji1635]Haha
Sawa usijali...ASAP mkweo atakuona [emoji383][emoji385]
Yepi hayo mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23]Maajabu yanaendelea.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo atakuwa Saint anne
Sasa hutaki kuja au?
She looks very innocent [emoji849]Picha yako na hizi fujo zako humu mtandaoni ni tofauti kabisaaaa teh teh teh teh teh
Nakukumbusha tu kwamba siku 7 zikipita unalirudisha na faini
[emoji23][emoji23][emoji23] hapajui anajibalaguza tu hapaHuyu wa kishua hawezi kupajua mwanjelwa
Msalime yule anayechezea simu kule karibu na ndoo za maji
Huyu wa kishua hawezi kupajua mwanjelwa
ππππ kuna clip moja niliona yule alienda nalo kijijini...naona kajiandaa na faini yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] najua shoga nilitaka nilirudishe leo ila nimekosa nafasi nitalirudisha kesho na wamesema mwisho ni kesho kuanzia hapo ndiyo unalirudisha na faini
Dah![emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23] hapajui anajibalaguza tu hapa
Mtu muda wote Yuko Forest ndani ya geti[emoji23][emoji23]Ohoooo
Umependeza
Nimezitafuta nimezikosa,hapa zimenikosa nitumie pm basi nami nikupe hongera zako π€Mbona zipo huko juu