tulia dogo. Siku ile umenitumia meseji nilikuwa Mwanjelwa (we mnyakyusa wa mjini utakuwa hupajui ila
Saint anne lazima anapajua) nilirudisha jibu halafu nikaweka tena simu mahali pake jioni naiangalia simu kumbe sikuwa na SMS kwa hiyo meseji ikawa imefeli kuja.