Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Niazime nilinge mimi, mimi ninazo ila sio kama zakoUbless basi mchana wangu 😛
Niazime nilinge mimi, mimi ninazo ila sio kama zakoUbless basi mchana wangu 😛
Russia kuna baridi si la kawaida... Sijui watu wanaweza vipi kuishi sehemu kama hiiView attachment 1272530
Hahahaha mnapenda kututesa wanaume basi tuNiazime nilinge mimi, mimi ninazo ila sio kama zako
Acha basi....emu weka chap chap basi sahii watu hawapo wengiNiazime nilinge mimi, mimi ninazo ila sio kama zako
Kukutesa kivipi mkuu jukwaani tunachangamsha tu usijenge taswira nitakuwa wa aina hii kumbe ni zombie 😁😁Hahahaha mnapenda kututesa wanaume basi tu
Uzi unafatiliwa mbaya wewe jidanganye hakuna watu😁😁😁Acha basi....emu weka chap chap basi sahii watu hawapo wengi
Ndiyo mambo ya fake ID ,Unajua mazoea na hii hutokea unakuta ID ya mtu pamoja na fake inakufanya kuamini ndiyo yeye hata kama akileta uhalisia wake.... inatokea sana...ni wachache sana huwa wanafanana na ID wanazotumia...Mbona unaniogopesha eti![]()
Hahahahaha tafadhali usinidanganye basi na ile pichaJana niliweka nakumbuka ulikataa ukaandika ya uwongo
Mnatupelekesha kwa kasi sana wanaume, halafu hamna ushirikiano tukiomba kampani,msitufanyie hivyo basi..Kukutesa kivipi mkuu jukwaani tunachangamsha tu usijenge taswira nitakuwa wa aina hii kumbe ni zombie![]()
Siwezi kuweka tena jana nimeweka ya kichwa walimwengu wakaandika ninakichwa kinachofanana na zombieHahahahaha tafadhali usinidanganye basi na ile picha
Mbona unaniogopesha eti![]()
Kumbe tutapunguza kuwapelekesha kwa kweliMnatupelekesha kwa kasi sana wanaume, halafu hamna ushirikiano tukiomba kampani,msitufanyie hivyo basi..
Hawachi umeelewa nini hapa? Me metoka bila bila 😛😛Ndiyo mambo ya fake ID ,Unajua mazoea na hii hutokea unakuta ID ya mtu pamoja na fake inakufanya kuamini ndiyo yeye hata kama akileta uhalisia wake.... inatokea sana...ni wachache sana huwa wanafanana na ID wanazotumia...
Nikajua ni pose kumbe tumeficha plate number