Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Babu ni sehemu gani kuna mashamba bei nafuu na ardhi yake inakubali mazao aina mbalimbali😁😁Sio mbali sana kutokea Mikumi....
Ukipata nafasi tembelea huko ukanunue mashamba ulime miwa, maana kama bei ya Sukari inafika 5,000/Kg ina maana lazima miwa itakuwa deal Siku za usoni
