Naelewa 😄 embu ile uko juu ya mawe irudiwe 📸😁Network ilikuwa down, akili ikaload slow 😂
Hahaa dah! Si haukuwepo? Imekuwaje 😆Naelewa 😄 embu ile uko juu ya mawe irudiwe 📸😁
Ushaanza kulewa.Nimekaa sehemu kila nyimbo inayochezwa ni kama wananiwekea mimi... Daaaaa sijui wamejua je aisee
Kuna hila nafanyiwaa hapa...mara mapacha wavtatu kuachwa mara aslay inaumaa... Oyaaa kuna namnaaUshaanza kulewa.
Dj akamatwe ahojiwe 😂Kuna hila nafanyiwaa hapa...mara mapacha wavtatu kuachwa mara aslay inaumaa... Oyaaa kuna namnaa
Hii combo tamu sana
Hii combo tamu sana
Kwahio nyie wengine ndo tuseme hamna wapenzi ama???
Ndio tuseme mmetingwa sana ????[emoji2960] Siku bado haijaisha lakini tunasubiria mpendezeshe uziiiiiiiiii!
Lets meet badaeee nakeddd kama zoutreeeeee [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Story fupi fupi mafoto kwasana wapendwaaa