Sizitaki mbichi hizi...... 😃Wale mashangazi tunajiandaa kwenda ibaya majivu,kwaresima
Valentine tumewaachia watt
🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠! Tusi la rejareja hili mama pastaa hahahahaWale mashangazi tunajiandaa kwenda ibaya majivu,kwaresima
Valentine tumewaachia watt
Kweli siye watu wazima jmn😅Sizitaki mbichi hizi...... 😃
🤣🤣🤣🤣Khaaaa
🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠! Tusi la rejareja hili mama pastaa hahahaha
Hahaha...........umetisha Mkuu, Kuna sehemu wanalima lima miwa panaitwa Mbegesela, umewahi kupasikia?Hahahahahahaha...hivyo hivyo Donge = Wivu ..sie wa kilosa..tindiga..ulaya ..ndio maneno yetu hayo
Watu wazina - wengine wamekufa?Kweli siye watu wazima jmn😅
Hahahahahaha..nimewahi kupasikia ila sijawahi kufikqHahaha...........umetisha Mkuu, Kuna sehemu wanalima lima miwa panaitwa Mbegesela, umewahi kupasikia?
Ndiyo nilisikia hayo maneno huko 🤗
Naona unawatumia wanafunzi kupukuchua mahindi 📸
🤣🤣🤣Watu wazina - wengine wamekufa?
Watu wazima - kuna mtu nusu?
Screen saver kabisa hii 🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂 ngoja nitoke huku
Nipo naokota visamaki vinipe mood ya kula ugali. View attachment 2903561
Usijali Mjukuu 😜Sawa babu msalimie mjukuu😁
Uko double maana Yesu unae moyoni.🤣🤣🤣
Basi Niko single
Sio mbali sana kutokea Mikumi....Hahahahahaha..nimewahi kupasikia ila sijawahi kufikq
we chalii miyeyusho laana
Hahahahaha...ni kile kijiji cha karibu na wamasai ? Wazo zuri kununua shambaSio mbali sana kutokea Mikumi....
Ukipata nafasi tembelea huko ukanunue mashamba ulime miwa, maana kama bei ya Sukari inafika 5,000/Kg ina maana lazima miwa itakuwa deal Siku za usoni
Ndiwooooo msiniangusheee! Tena mpite nakeddddd kabesaaa nimemiss kuwaona visuraaa!🤣🤣🤣🤣Khaaaa