Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Haya wenye wapenzi wenu mtuletee picha mkiwa wawili wawili tunasubiri kabla hatujaenda church muwahi basi 😜
🙏🙏🙏Ameen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hapana tar 21,j5 ijayoJumatano hii ya leo ?
Tuwekee picha ya bibi tumuone😁
Nyingine tena 😁😁Tupia nyingine mpendwa
Tusuuze tena macho
Nipo mwingi,
Labda tunapishana tu mida.
Hahahahaha..hebu anza wewe na yule nani sijuiHaya wenye wapenzi wenu mtuletee picha mkiwa wawili wawili tunasubiri kabla hatujaenda church muwahi basi 😜
Ok Mungu akijaalia seat ya katikati...muda gani ..najua eneo ni pale pale Kawe ?Hapana tar 21,j5 ijayo
Hahahaha!Tusiokua na wapenzi hii ni adhabu nyingine kabisa
Karibu sanaImekaa vzr hii tutakuwepo
Hahahahaha..Merci ..nimesave ili nisipitweKaribu sana
Naona chama kwa mbali😁
Ndiyo mpendwaNyingine tena 😁😁
AmenHahahahaha..Merci ..nimesave ili nisipitwe
Bibi yenu si amekuja huko Mjini kuwasalimia Wajukuu zake.Tuwekee picha ya bibi tumuone😁