Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,851
- 37,565
Nitafurahi snI wont disappoint you madam. I will be there 🙏
Ubarikiwe
Nitafurahi snI wont disappoint you madam. I will be there 🙏
The power and allure of black clothes is always awe-inspiring to many.
👍🙏Nitafurahi sn
Ubarikiwe
Jumatano hii ya leo ?No halafu mie ni WA nje sio ndani kwamba lzm niwepo Kila safari.
Lkn pia sbb tuko na maandalizi ya semina ya dar,zmeongozana sn,tunaanza j5 hapa kawe
HahahahahaTunaoenda ibadani Azania jmn
Tujuane🙄😅
Huu ni msiba sio kilio!
Usije umetuvalia vitenge hapa 😅
Imekaa vzr hii tutakuwepoKaribu sana ndugu yangu ktk Kristo!
Tar 21 feb mpka 25,j5 ijayo
Hahahahaha...wako ktk majivuMmepewa zawadi au mmejinunulia zawadi au mpo kwenye majivu
Nshapata sasa!!😊😆😆Dr Lizzy 😄😄 ushapewa kopa la Vals? Kama bado tung’oe hili View attachment 2903534
😂😂😂 ngoja nitoke huku
Hata usiondoke haraka...kodolea maji macho mpaka ujihisi kama uko inlove na huo mto!!☺️😂😂😂 ngoja nitoke huku
Nipo naokota visamaki vinipe mood ya kula ugali. View attachment 2903561
Dem Lips 😍😍 cute & astonishing
Niliona mtu amekaa zake kwenye jiwe anatizama waterfall. Akili ya haraka haraka ikadhani ana manifest.Hata usiondoke haraka...kodolea maji macho mpaka ujihisi kama uko inlove na huo mto!!☺️
Na ulipaswa uende na basket ya picnic kabisa!!!
Hii umeandika kichaga cha ndani ndaniiiDem Lips 😍😍 cute & astonishing
😂😂 kichaga cha oxfordHii umeandika kichaga cha ndani ndaniii
Hata sielewi
umetisha depoo mafoto ya leo ni noma😂😂 kichaga cha oxford