spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,124
- 21,835
Nafika sana hapo unanihudumia ila haunijuiHahahaaaa afu wewe!! Sahau basi
Nafika sana hapo unanihudumia ila haunijuiHahahaaaa afu wewe!! Sahau basi
Yote yanasababishwa na miongozo, sijui huyu bwana ana kitu gani?? 😂😂😂Hahahahahaha..ngoja tuone sie tunaofanya OSINT tulishaona hilo siku nyingi
Sekei, Arusha Dc, one way to cement hill, ukikuta njia mbili deal na za kushoto then Meru camp. UmefikaPlease naomba details kwa kifupi panaitwaje na mtu anafikaje?
Huyo atakuwa sio mimi aisee!! 😂😂😂Nipatie ruhusa niweke yako kwa niaba yako.
Haha nishaona ndevu. Ntadeal na wenye ndevu kuanzia sasaNafika sana hapo unanihudumia ila haunijui
Hahahahaha..ndio nani huyo miongozo...ila humu kuna wajinga wajinga wengi sana ..tena wajinga haswaYote yanasababishwa na miongozo, sijui huyu bwana ana kitu gani?? 😂😂😂
Picha nazoweka humu sio zangu mimi nna kipara kidevun na kichwan navaa mawani myeusi😄Haha nishaona ndevu. Ntadeal na wenye ndevu kuanzia sasa
Picha nazoweka humu sio zangu mimi nna kipara kidevun na kichwan navaa mawani myeusi😄
Kumbe hukuwa mzembe kwenye Geography. 😅Sekei, Arusha Dc, one way to cement hill, ukikuta njia mbili deal na za kushoto then Meru camp. Umefika
SawaaHunipotezi.. nakuambia
Wajinga kweli sio uongo, Mungu awarehemu aiseee.!! 😂😂😂Hahahahaha..ndio nani huyo miongozo...ila humu kuna wajinga wajinga wengi sana ..tena wajinga haswa
😂😂 niliokota okota, sikutoka bure mkuuKumbe hukuwa mzembe kwenye Geography. 😅
You’re a good guider.😂😂 niliokota okota, sikutoka bure mkuu
TA ubarikiwe Ngoja nikugoogle nijue mbili tatu kunaonekana kuzuri sana.Sekei, Arusha Dc, one way to cement hill, ukikuta njia mbili deal na za kushoto then Meru camp. Umefika
Hahahahahaha...na kumjua mjinga ni kitu kdg sanaWajinga kweli sio uongo, Mungu awarehemu aiseee.!! 😂😂😂
Sana, mtu mmoja ana play adui na rafiki. Unatakiwa uwe na jicho la mwewe kumtambua..!! 😂😂😂Hahahahahaha...na kumjua mjinga ni kitu kdg sana
Ni pazuri haswaaa ❤️🌸 na kuna mengi piaTA ubarikiwe Ngoja nikugoogle nijue mbili tatu kunaonekana kuzuri sana.