Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilikuwa naye wiki 1 iliyopita,tulipata picha ya kumbukumbu.

Hao wajukuu wapo duniani?waambie "mgiriki" nawasalimia kama watanikumbuka.
Mxiewwwww!! Itume nione km yy kweli 😂😂😂
Sema nili left kitambo kwenye lile group lao la WhatsApp, ntamtafuta shostingo wangu mmoja wa kilakala nimuulizie
 
Mxiewwwww!! Itume nione km yy kweli 😂😂😂
Sema nili left kitambo kwenye lile group lao la WhatsApp, ntamtafuta shostingo wangu mmoja wa kilakala nimuulizie
Nitatuma ila si hapa ,kwenye thread nyingine na nitakuita.

Namfahamu huyo,jirani kilakala kwa winga.🤣
 
Miaka yote jina nilikumbuke?but the shorty was pint sized na alikuwa mkorofi,anaongea sana. I hope sasa amekuwa mumama or bibi.
🤣
Unajitahidi mwenyewe 😂😂😂😂
Huyo sio yy, sema ntakufungulia code siku moja nikiwa na vibe la Margarita shots 🍸

Btw mbona leo sioni mkibebishana na wifi 😜
 
Back
Top Bottom