Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
Mbn km kuna kaji ugomvi humu kwa mbali
Beautiful eyes 😍Siwezi kusuka. 70% kusuka kuna kata nywele. Sihitaji kuwa na komwe la kujitakia View attachment 2903588
Huwa mnaazaga hivi hivi then unafungwa...Ndio kichaa kwani unajiona zimo halafu tutolee laana zako kwenye uzi wetu usifungwe kwa uchizi wako kama huwezi kuweka lisura lako kaa kimya kima mmoja we🐒🐒🐒
Leo mnatupatia picha nusu nusu,uchoyo tu,rafiki.
Hii kweli V day..tunaoneshwa macho sasa..dah vijana mnafeli wapi ?
Ngojaaa...
Kwanini hupendi? Au ule usukari mwingi mixer utamu?Got nuts in it, too bad I don’t like chocolate
Hahahahahaha...ndio ujue leo Valentine day...ila vijana mnafeli ..mnaoneshwa macho..dimples ..mshawishikeLeo mnatupatia picha nusu nusu,uchoyo tu,rafiki.
Tuonyeshe mfano basi...🙂Leo mnatupatia picha nusu nusu,uchoyo tu,rafiki.
Washawishike kufanya nini?🙄Hahahahahaha...ndio ujue leo Valentine day...ila vijana mnafeli ..mnaoneshwa macho..dimples ..mshawishike
HahahahahahaWashawishike kufanya nini?🙄
ongezea wewe kama mdauBado umesahau jibu 1.
Wanafanya kusudi eh?Hahahahahaha...ndio ujue leo Valentine day...ila vijana mnafeli ..mnaoneshwa macho..dimples ..mshawishike
Hahahahaha...ndio maana ake...Wanafanya kusudi eh?
My sisterSiwezi kusuka. 70% kusuka kuna kata nywele. Sihitaji kuwa na komwe la kujitakia View attachment 2903588
Kaka Chaz 😂😂😂 yule mwanetu wa kule kwenye movie yukwapi!? Kitambo sijamuonaMy sister
Tuonyeshe mfano basi...🙂
And please delete the attachment!🙏🏾
Weka full ili na wao waweke fullView attachment 2903627
ukiweka nusu nami nitaweka nusu,na huo ndio mfano😅.
Kwangu haifutiki rafiki.
Wanasema eyes are the great window to the soul.Beautiful eyes 😍