Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Throwback 2019
Kweli tumetoka mbali 🤠

Mrare unono wapendwaaa 💤😴💤😴💤😴💤😴💤💤😴

Msisahau Story fupi fupi picha kwawingi

cc Smart911
 

Attachments

  • Screenshot_20220314-132711~2.jpg
    Screenshot_20220314-132711~2.jpg
    96 KB · Views: 7
Hahaha naona wadada wote memories zimekata...

Huko nyuma nyuma zipo Jadda, bahati mbaya siwezi back search...
We usitudanganye Nkamu
Mimi huwa sipotezi kumbukumbu kabisa.
Huu uzi ulikuwa mzuri sana kipindi unaanza, nakumbuka sana... Mma hukuweka, uli mmyasi
 
Mwomumo Nkamu 😂

Nkamu nipo naishushia na soda hiyo picha😂😂
Nikimaliza soda,nakupokonya kahawa ile umeshika kwa kikombe.

Mimi bwana lugha yenu hii siijui sana inanipa shida,,, ingekuwa ya kwangu hapa ningetiririka sana.

Unajitahidi sana, ninasikia yote lakini siwezi kujibu au kuandika vyote...
 
Back
Top Bottom