Thais girl 💥
Umependeza sana mamy!
Asante nakwako pia kipenziMiss you too my dear😍
Uwe na jioni njema.
Wa zamani ndo mimi sasa
Wengine wamekuja baadaye sana.
Ngoja nirewind kumbukumbu zangu japo wewe kwenye kumbukumbu zangu haupo kabisa...anyway,itakuwa nazeeka sasa.
Leo nimeona koments Zangu za Zamani kwahuu uzi nikacheka sana!!
Leo nimeona koments Zangu za Zamani kwahuu uzi nikacheka sana!!
Kweli siku zinaenda!
Muwe mnatupia kama hivo Inapendeza sana
Ya kwako kweli sikumbuki jamani kaka UchebeHahah mimi mbona nakumbuka picha zako za unywele natural na ushepu wa kimiss...
Nahisi picha nyingi mods wameziondoa...
Hahahahaha...ndio maana wazee hatu sefikiYa kwako kweli sikumbuki jamani kaka Uchebe
Kumbe uko handsome hivi🙌🔥
Nikajua Mzee fulani 😝,kumbeee I was totally wrong
Miss you too my dear😍
Uwe na jioni njema.
Yuko vzrUnawahi kuzitoa khaa...hebu ziache ache kidogo tupige kiwi ya macho
Za kwako?Jana jion, kaangalie ziko nyingi sikufuta
Ndo nini hiko??? Sijaelewa hata!Hahah, muone bile wewezako ziko wapi manywele?
Ya kwako kweli sikumbuki jamani kaka Uchebe
Kumbe uko handsome hivi🙌🔥
Nikajua Mzee fulani 😝,kumbeee I was totally wrong
Hakuna cha mzee hapoUne keta nkangele kikolo...mzee kijana
Ndo nini hiko??? Sijaelewa hata!
Ndio RabbitusZa kwako?
Hakuna cha mzee hapo
Mma nganile
Nani kakuandikia lugha hii?😂