Nashukuru Pepo limeshindwa nipo nakunywa supu!ilibaki robo Nitumie picha na location 🤣🤣🤣🤣Dada nimerudi tupia 😜
Hahahahaha..ungekua umenisaidia sana kwa upande wanguNashukuru Pepo limeshindwa nipo nakunywa supu!ilibaki robo Nitumie picha na location 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣Usijali wewe nakutumia PM Moja Kwa Moja huna bayaHahahahaha..ungekua umenisaidia sana kwa upande wangu
Waoooh kumbe kiportable kama nilivyokuwa nafikiri🥰Ndio mm mahi 😂😂😂nilitupa baibui😀
Hahahahahaha....hapo kwa PM umenidanganya🤣🤣Usijali wewe nakutumia PM Moja Kwa Moja huna baya
Hongera sana Babu Kwa kujitunza😁Picha ya Miaka 80's hiyo Mjukuu 😜
Picha hiyo nilipiga kwenye Siku yetu Wakulima Nane Nane miaka ile 🤗
Kwa Nini nikudanganye mtasha kama wewe!wewe najua hata ukiniona mfupiii hutokuja kunikandia humu eti oooh joannah mwenyewe kama mtungi wa oryxHahahahahaha....hapo kwa PM umenidanganya
Miss u cute..Kuna muda ninakuwa na vihekaheka mpaka nashindwa kutypeUlipotea shooo
Miss uuu
Hahahahahahaha...kwa hilo niwe mkweli siezi kabisa hapo uko sawaKwa Nini nikudanganye mtasha kama wewe!wewe najua hata ukiniona mfupiii hutokuja kunikandia humu eti oooh joannah mwenyewe kama mtungi wa oryx
Asante Mjukuu, Babu yenu nimekula chumvi nyingi 🤗Hongera sana Babu Kwa kujitunza😁
Nimekuona,wewe ni Babu wa makamu,Kwa kipande tu nilichoona Babu utakuwa umekula chumvi Kwa kipindi Cha miaka 52...Asante Mjukuu, Babu yenu nimekula chumvi nyingi 🤗
Basi subiri exclusive PM😁😁Hahahahahahaha...kwa hilo niwe mkweli siezi kabisa hapo uko sawa
Hahahahahaha...dahBasi subiri exclusive PM😁😁
Nami ndio nachukua mzigo wangu hapa nikakae zangu Beach