Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🙌🙌🙌🙌🙌🙌

30 wote mnataka kugundua nini kha!

Usipokuwa na ajenda za siri na unakutana na watu sahihi haina shida...

Enzi zile ukiwa njuka wa JF hukuwa unaona nyuzi za watu kukutana Kebby's, Tanga, Leo Tupo Hapa, JF White Party, JF Charity (kutembelea wagonjwa)?
 
🎶Shine bright like a diamond
Shine bright like a diamond
Find light in a beautiful sea
I choose to be happy
You and I,You and I, we're🎶
Like diamonds in the sky
You're a shooting star
I see, a vision of ecstasy
When you
Hold me, I'm alive
We're like
Diamonds in the sky
I knew that we'd become
One right away
Oh! right away
At first sight,
I felt the energy of sun rays 🎶
So shine bright, tonight, You and I
I saw the life
inside your eyes.......🎶


Smart911 ♥️
 

Attachments

  • Screenshot_20240210-191921~3.jpg
    Screenshot_20240210-191921~3.jpg
    46.7 KB · Views: 5
Usipokuwa na ajenda za siri na unakutana na watu sahihi haina shida...

Enzi zile ukiwa njuka wa JF hukuwa unaona nyuzi za watu kukutana Kebby's, Tanga, Leo Tupo Hapa, JF White Party, JF Charity (kutembelea wagonjwa)?
Wakongwe tu ndio tunakuelewa, hawa wengine wataona ni ndoto za alinacha.

From jamboforum to JamiiForums 😀
 
Kangi tukumpalisya atupele umulum'yana ngolofu

Akapichq ako ngulila ni takapela

Hahah nasoma ninaelewa, lakini siwezi andika misamiati migimu hivyo khaaa!

Aseee une nka kalumyana, ndi mnyambala nkamu...

Akapikya hako usishie kulila na kasokera, kakupeghe nu busingizi n'yafu...
 
Wakongwe tu ndio tunakuelewa, hawa wengine wataona ni ndoto za alinacha.

From jamboforum to JamiiForums 😀

Naam mkuu,

Isipokuwa hapa kati kuna rika fulani lilivamia JF hapo, ikitokea wamemjua mtu/watu basi wataanza kupiga umbea PM, kufukunyua maisha binafsi ya watu na hata kuanzisha groups za whatsapp...
 
🎶Shine bright like a diamond
Shine bright like a diamond
Find light in a beautiful sea
I choose to be happy
You and I,You and I, we're🎶
Like diamonds in the sky
You're a shooting star
I see, a vision of ecstasy
When you
Hold me, I'm alive
We're like
Diamonds in the sky
I knew that we'd become
One right away
Oh! right away
At first sight,
I felt the energy of sun rays 🎶
So shine bright, tonight, You and I
I saw the life
inside your eyes.......🎶
Smart911 ♥️

😄😄

Mahondaw naona mshaanza ule ung'eng'e wenu 🙌🙌
 
Naam mkuu,

Isipokuwa hapa kati kuna rika fulani lilivamia JF hapo, ikitokea wamemjua mtu/watu basi wataanza kupiga umbea PM, kufukunyua maisha binafsi ya watu na hata kuanzisha groups za whatsapp...

Kipindi kile watu walikuwa wanaiona ni ya kundi flani la watu walioelimika na kustarabika. Lakini kwa sasa ni changanyikeni tu, ilimradi mtu ajue kuandika sentensi basi.

Hata twitter ilianza hivyo lakini sasa hivi ni changanyike, huwezi itofautisha na Instagram.

Hivi uliwahi kuchat Dar hotwire?
 
🎶Shine bright like a diamond
Shine bright like a diamond
Find light in a beautiful sea
I choose to be happy
You and I,You and I, we're🎶
Like diamonds in the sky
You're a shooting star
I see, a vision of ecstasy
When you
Hold me, I'm alive
We're like
Diamonds in the sky
I knew that we'd become
One right away
Oh! right away
At first sight,
I felt the energy of sun rays 🎶
So shine bright, tonight, You and I
I saw the life
inside your eyes.......🎶


Smart911 ♥️
Big up y'all,for the sweet love vibes that got hearts swooning and emotions flowing....

Keep spreading that love magic
 
Hivi uliwahi kuchat Dar hotwire?

Hahaha Dar Hotwire enzi za ASL? (age, sex, location)...

Nimechat sana tu mzee baba, yahoo messanger, MSN messanger, Hi5 etc...piga sana simu za bure Global 7 n.k

Unapanga na mchuchu mida unaingia internet cafè na yeye awepo other side ya dunia ili mchat kwa kuexchange emails...

Nilikuwa na mchuchu wangu binti mmoja mashallah sana Koku.... Tibaijuka (ana undugu na mama wa UN) wakati huo yupo nje ya mipaka, alijua sana kunifanya niwe mwenyeji wa cafè...
 
Back
Top Bottom