Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,830
🤣🤣🤣🤣Umeanza 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Umeanza 🤣🤣
Umetoroka mbinguni wewe 🤣🤣🤣🤣Malaika hiyo kwio🤣🤣🤣
Asante my wii
Ah thubutu🤣🤣🤣Umetoroka mbinguni wewe 🤣🤣🤣🤣
Mi sina unafiki nasema ukweli 🤣🤣🤣🤣Ah thubutu🤣🤣🤣
Sio mm mkuu ni jirani yangu anaitwa mama ambele🤣Huyu ni wewe?😂
😁😂😂Si utupie picha tuone 🤣🤣🤣
Tatizo ss hivi haitanoga wamewazoea si mnakutana nao mcity…!!! Inakuwa hakuna jipyaaaa 🤣🤣🤣
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ Ila mi ntapigwa mjue
Nianze kutafuta bodyguard 🤣🤣🤣🤣
Ngoja nikienda mcity nikipiga nitatupia😬🤣🤪🏃🏃Tuone bhana muda hujatupia mdogoangu ujue 😊
Humu Kuna pisi Kali mm sigusi hata robo kunamda namuulizaga Kakaako kanipendea nn kwani mbona sieleweki🤣🤣🤣🤣Mi sina unafiki nasema ukweli 🤣🤣🤣🤣
Naomba jioni ukipata muda tukutane 😂😂😂Sio mm mkuu ni jirani yangu anaitwa mama ambele🤣
Nije nikupeleke mama mchungaji?Ngoja nikienda mcity nikipiga nitatupia😬🤣🤪🏃🏃
Ila wadada wa jf mnapapenda mcity 🤣🤣🤣 hivi hakuna meeting point sehemu nyingine..???Ngoja nikienda mcity nikipiga nitatupia😬🤣🤪🏃🏃
Mzee wa mcity 🤣🤣🤣Nije nikupeleke mama mchungaji?
Mbona mi sijaziona wifi?? Hebu ziite ziselfike nione uumbaji wa Mungu 🤣🤣🤣🤣Humu Kuna pisi Kali mm sigusi hata robo kunamda namuulizaha Kakaako kanipendea nn kwani mbona sieleweki🤣🤣🤣🤣
Yani mi nakukubali ukiwa kwenye nyuzi kama hizi unacomment kama mvua😁😁😂Nianze kutafuta bodyguard 🤣🤣🤣🤣
Mi si mmbea 🤣🤣🤣Yani mi nakukubali ukiwa kwenye nyuzi kama hizi unacomment kama mvua😁😁😂
Kwani mlimani city kilitokea nini kwanza naomba ufafanuzi chap😁😁😁Ngoja nikienda mcity nikipiga nitatupia😬🤣🤪🏃🏃
AhMi si mmbea 🤣🤣🤣
Urudi na wewe kutuachia joto pekeetu[emoji3]