Matukio ya kimbea 🤣🤣🤣Ah
Mmbea neno kali sana
Sema wewe ni ripota wa matukio😁
Mnatumia simugani kwani mbona mm nilipiga wanakuja wa bluu😃😃😃
Mnatumia simugani kwani mbona mm nilipiga wanakuja wa bluu[emoji2][emoji2][emoji2]
🤣🤣🤣Ila wadada wa jf mnapapenda mcity 🤣🤣🤣 hivi hakuna meeting point sehemu nyingine..???
Mdogo angu usiende mcity ile ni sehemu ya kupigia picha watu kutoka mkoani sawa..??
Unashusha brand buana 😂😂😂
Dada Lamomy kasema nisiende hapo ngoja anitafutie place la kwendaaakutokana na brand yangu , halafu utanipeleka 🤣Nije nikupeleke mama mchungaji?
Mi sio mzuri sn kwenye hili eneoKwani mlimani city kilitokea nini kwanza naomba ufafanuzi chap😁😁😁
😂😂😂😂Mi sio mzuri sn kwenye hili eneo
Muombee dada atakupa news😬
Hii lips ya dume au jike ?
Lips za karmasutra hiyo dr 😂😂😂😂
Hahaha siyo shem maan friend wangu tu huyu.Shemeji ana vidole na kucha nzuri sana...
Situation 🏃🏃
Jmn tunaomba picha ht za google
Tatizo jezi[emoji23][emoji1544][emoji1550]kill ya baridi sana...
Ndo maana sisi wa Tecno wereva wanatoka wa njano😃Hahah! Si kweli boss lady hii ni Iphone 13 promax...
Akachane nywele pumbavu😃😃😃
🤣🤣🤣 Ngoja nimshtue wakili wake.Akachane nywele pumbavu😃😃😃