Kitu skanka
[emoji23][emoji23][emoji23]safiiii.... yani kati ya siku umeongea point ni leo,,achana na wafitini wasiotaka urafiki wako na bia uendelee
Hii menu ya kibabe sana
samahani kama nitakua nimekukwaza ila naomba kuuliza una mtu?? 😎
Nyanya mbichi
Hahahahahasamahani kama nitakua nimekukwaza ila naomba kuuliza una mtu?? 😎
😁😁samahani kama nitakua nimekukwaza ila naomba kuuliza una mtu?? 😎
fundi wa raha zakoo 😂😁😁
s
Khaaa umejuaje??Nyanya mbichi
Hahahah[emoji23]samahani kama nitakua nimekukwaza ila naomba kuuliza una mtu?? 😎
Mbona unazunguka sana sasa[emoji1787]fundi wa raha zakoo [emoji23]
Mbona hamtupii ni maneno maneno tuu au zile picha mlizokua mnatupia zamani sio zenu??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
haya mambo ukiingia kichwa kichwa unaweza pigwa na kitu kizitoo hahahaha
Tunazikumbuka sura japo zilikua kwny uficho ujueee...