Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Tupo Huku 🤒, baada ya Uzi pendwa kuliwa kichwa 😁😀Nawazoom vijana mkiendelea na harakati
Tupo Huku 🤒, baada ya Uzi pendwa kuliwa kichwa 😁😀Nawazoom vijana mkiendelea na harakati
Huku ni amani tu, kuheshimiana na kuthamini utu was mwingin.Nimefika Mkuu, kweli hii ni Nchi ya ahadi maana naona Maziwa na asali kwa wingi🤗
Yeah ni 🔥🔥, Japo mi nawa support arsenal😁Hii mechi nimeishuhudia hadi ilipoisha, kwa kweli Vijana wameonesha ukomavu wa hali ya juu.
Na Kocha nimeona ana mbinu, kama tutaboresha mapungufu tunaweza kufanya vizuri huko CHAN mwakani
Duuh hatari sana.. kumbe nisichukulie poa humu kumbe watu wana maindiana kabisa...Waka ishia kupigana vijembe na kudhalilishana, Uzi uka liwa kichwa😁.
👉Wajumbe tukakosa kamati😁, hivyo tume anzisha bunge jipya la amani😀
Sio Huku, ni kule ndo watu walipigana vijembe kisa visa vya ajabu😀😁Duuh hatari sana.. kumbe nisichukulie poa humu kumbe watu wana maindiana kabisa...
Yah I mean kule...aiseeSio Huku, ni kule ndo watu walipigana vijembe kisa visa vya ajabu😀😁
Kupitia Uzi huu nimejua ID ya mtakatifu Annie ni mdada😁😁Tupo Huku 🤒, baada ya Uzi pendwa kuliwa kichwa 😁😀
We Jamaa😁, Annie SI jina la kike Hilo😀Kupitia Uzi huu nimejua ID ya mtakatifu Annie ni mdada😁😁
Huku watu pitie hivi 😁😀, tume choka matatizo yao🤒Yah I mean kule...aisee
hz ID mpaka ajiseme ndo hua najua ni mwanamke au mwanaumeWe Jamaa😁, Annie SI jina la kike Hilo😀
Hilo nalo neno 😂😁hz ID mpaka ajiseme ndo hua najua ni mwanmke au mwanaume
Ila kupitia picha nliona huyu mtakatifu ni ke🤣🤣Hilo nalo neno 😂😁
Ume watag wastaarabu tu 🤒, 💪
Kumbe tupo wote mitaa ya Emirate, hii ni mitaa yangu ya Kujidai 🤗Yeah ni 🔥🔥, Japo mi nawa support arsenal😁
View attachment 2742966
hapo ni full dozi tu😁🤒Kumbe tupo wote mitaa ya Emirate, hii ni mitaa yangu ya Kujidai 🤗
Hayo ndiyo maneno Babu yenu napenda kuyasikia, maana tuliobahatika kushiriki Vita vya Kagera mwaka 78, tumeona athari zake 🤪Huku ni amani tu, kuheshimiana na kuthamini utu was mwingin.
👉Wenye chuki wapite hivi😁😀
Upendo ni muhimu, wenye chuki Huku sio kwao🤒💪Hayo ndiyo maneno Babu yenu napenda kuyasikia, maana tuliobahatika kushiriki Vita vya Kagera mwaka 78, tumeona athari zake 🤪
Amen 🙏Upendo ni muhimu, wenye chuki Huku sio kwao🤒💪
Ni maombi yangu ya kila siku baada ya kujiombea afya njema kwangu na familia yangu, basi maombi mengine ni kwa timu hii.hapo ni full dozi tu😁🤒