myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Sawa SawaHii mechi nimeishuhudia hadi ilipoisha, kwa kweli Vijana wameonesha ukomavu wa hali ya juu.
Na Kocha nimeona ana mbinu, kama tutaboresha mapungufu tunaweza kufanya vizuri huko CHAN mwakani