Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,052
Wanataka tupumzike labda wamechoka kulalamikiwaNa hii ni chuki si hali ya kawaida siku ile labla ni mzozo sasa leo kuna tatizo gani?🤷🏼♀️
Na Picha 😁
Wanataka tupumzike labda wamechoka kulalamikiwaNa hii ni chuki si hali ya kawaida siku ile labla ni mzozo sasa leo kuna tatizo gani?🤷🏼♀️
Nipo location 😅😅Call me crazy but I have this vision
That one day I walk among you,
As a billionaire civilian,
But until then let my hustles drums get beaten.
👉My sweat and hustle blood get spitted 🤒
National Anthem, Mwachiluwi, mshamba_hachekwi, Mjep, and 100 others, Nuzulati, To yeye
👉 I mean no malice to nobody
View attachment 2741207
Yes madam
Nalea kachanga mieee hata mzigoni bado sijarudi 🤠🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️!
Doh hayo mandhari tulivuuuuu!!😍😍😍 Panaonekana pana kaubaridi fulani muruaaaa!!
Yaani hapa ni mwendo wa kipupwe tu, njoo nikupikie mtori basi, ili kachanga apate maziwa ya kutosha.Doh hayo mandhari tulivuuuuu!!😍😍😍 Panaonekana pana kaubaridi fulani muruaaaa!!
Dahhh!! Mazingira naishia kuyaona kwenye mitandao tu walaiii hapo ni bongo hiii Kwani 🤠🤠🤠😁!!Yaani hapa ni mwendo wa kipupwe tu, njoo nikuoikie mtori basi, ili kachanga apate maziwa ya kutosha.
View attachment 2741330
OhYes madam
View attachment 2741320
Usha fungwa mzee😃😃, ndo Mana tume kuja na come back part 2Uzi wenye mahadhi design hii upo.
Matani yasi pitilize😃😃, hamchelewi kuraruana nyie🤣😂Weka sera kabisa mtu akizidiwa matani asikimbilie kushtaki 😄