Selfika na JF: Snap it. Show it

Hatareee nyie dah!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ss hivi mkiniuzi tyuu nakuja na pic zenu kuwachamba [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Nikuudhi kitu gani ukuje na picha yangu 😁😁
 
Ita fahamika tuπŸ€£πŸ˜‚πŸ€’ National Anthem
 
Nikuudhi kitu gani ukuje na picha yangu [emoji16][emoji16]

Wewe pic yako haina shida nakujua sie si ndo viherehere wa kuselfika humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna hizo Pipo hata sijui km zenyewe zinajua km wapo kwenye pdf wanasemwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu pic ya dada mbong’oko nimeipata banaa woiiiih khaaaaaa!!! Nyie mi staki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nitafute nikupe pdf ujichekee
 
Hebu njoo pm nina maongezi nawe binafsi huo mbong’oko kwema πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™Œ
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuma na ya kutolea nikupe pdf la mibong’oko uvunje mbavu!!! Miongozo mwenzio alitupa simu kwa mshtuko!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ushawahi kumuona yule bibi wa kihindi wa TikTok
Naomba nitumiee plz, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu weuweeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…