National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Nakubali😍😍😍moto huo 🔥🔥🔥🔥
sema nini tuishi humuu kabla ya mwaka kuishaaa hata kwa kunywa damu ya Unique Flower View attachment 2727682View attachment 2727681View attachment 2727684View attachment 2727683
Endelea kuamini unacho amini🤒.Amka utajikojolea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅😅 Inawekazekana.. mtu yoyote asidharau juhudi zako kufikia ndoto zako.. yote yanawezekanaaa ndugu yangu.. Pambana.. Walio navyo walianza kama mie na wewe.. kikubwa FOCUSNakubali😍😍😍
Endelea kuamini unacho amini[emoji855].
Meza lazima ipindukee 💪😅😅😅😅 Inawekazekana.. mtu yoyote asidharau juhudi zako kufikia ndoto zako.. yote yanawezekanaaa ndugu yangu.. Pambana.. Walio navyo walianza kama mie na wewe.. kikubwa FOCUS
Tinsley nime kuona Humu??
🙏🙏 Kijana ana nguvu na maarifa hakuna mtu amezaliwa na hivyo ,wote walitafuta wakapata wanaishiMeza lazima ipindukee 💪
Kweli ka like picha niliy post
Let's keep grinding and aiming at our goals.🙏🙏 Kijana ana nguvu na maarifa hakuna mtu amezaliwa na hivyo ,wote walitafuta wakapata wanaishi
Sasa hatujui ni yeye au kanyaboya 😅😅😅Kweli ka like picha niliy post
Hilo nalo neno😂😂🤒Sasa hatujui ni yeye au kanyaboya 😅😅😅
Mzee wa kumlipua kilo 😂😂Kumekucha sasa tukapambane
😅😅😅😅😅 katoto kale kastaarabu sana.. ila watu makatili sana.. hakapendi maneno na mtu, hakana uswahili.. safi kabisaa. ila mtu ana katreat vibaya vibaya wanaume kuna mtu tunatoaga boko sanaHilo nalo neno😂😂🤒
Hassan kiloMzee wa kumlipua kilo [emoji23][emoji23]
Utakuja kumuua kwa oresha🤣🤣😂Hassan kilo