hana power ya kudukua huyo JF.. anacheza viini macho tu π π π .. kwa kulaghai mtu hadi anajaaa kingi.. kwenye kundi la watu ku date nitoe sihusiki ..
Wewe ngoja adhabu yako leo naunajua kuwa msaliti wa group unapewa adhabu yakifo au unamtoa mtu umpendaye sana kale kamchepuko plus na yule mtoto anaependaga kuongea english sana hao wawili au mwenyewe intelligent business ametokea wapi kunywa damu nasio member ongea haraka siunajua hatuchezagi

Intelligent businessman usicheze na National Anthem kuhusu uchawi kaa mbali naye serious niukweli sikudanganyi,usije ona ukoo wote unaugua nakwenda kama kuku wenye ngideri