Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Babu anakubaliwa na namba A tyuu ndiomana kisirani hakimuishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ajilie trip shamba trip sokoni, mwanamke wa baridi km panga lilolala nje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyokoooo wee, uduguuu kita kukuta kitu, wee hayaa tyuuh.
 
Me mkinga km mzaramo dadeq, ukitaka maendeleo karibu ukinga [emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Tunajua mapenzi mpk kutafuta pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye pesa sawa?

Uko kwengine yaliyomo yamo kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyokoooo wee, uduguuu kita kukuta kitu, wee hayaa tyuuh.

Mkinga hatishiki si nimekwambia wewe toka jana?? Alikuwepo Kantri kaamua kutangaza uchumba na uzi juu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sembuse kina Babu migambuti!!! Sema babu kanyata jamani, wanaomdate nawapa maua rose [emoji257] wakamuwekee kwenye maji anukie kidogo
 
Hamna kitu hapo, zaidi ya kukaa uchi🤒🤔
😅😅😅😅 ulale unono Bro
Screenshot_20230824-220500.png
 
😅😅😅😅 leo alhamisi..!
itabidi nitulie shemeji nae afaidi 😅😅😅.. wanatuvumilia sana hawa warembo wetu.. usije damka asubuhi sana kumalizia mipira iliyokosa wamaliziaji
Izoo pigo Nilikua nazifanya sana pindi naishi mapambano hapo

Na kingine Nilikua napenda ibuka Sana jtatu maana huwa ku medoda na kina national mmekua mmejichokea na heka heka za wkend
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole sana
Me nina mixer ya makabila mpk sio poa hivyo hiyo kitu ni sekta yangu pendwa sijawahi kufail ni KAMPA KAMPA TENA [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Haha ila nyinyi wenye madoido ujue mara nyingi Ni sifuri kabisa.
 
Back
Top Bottom