Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Simtaki kwa bure wala kwa kumnunua siwezi kuishi na kitu ninacho kiogopa 😬😅😅😅 Nikuletee zawadi ache nayo Nai eeeh... hawa mbwa wanakula hadi bati wakikasirika
Simtaki kwa bure wala kwa kumnunua siwezi kuishi na kitu ninacho kiogopa 😬😅😅😅 Nikuletee zawadi ache nayo Nai eeeh... hawa mbwa wanakula hadi bati wakikasirika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee na babuu yako migambutiii kazi mnayooo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila siku namuhaidi leo mwisho lkn babu migambuti atatufuta tyuu cha kunikwaza mpk niingie huku sijui kwann??!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu niwachee bhanaa wee.
Mbavu zinauma huku.
🤣🤣🤣Mara mbili? Mbona ulishaniacha kitambo? 🤭 Zurura kwanza utarudiNakuacha😂😁🤒
ndio nisha kosa sasa😅😅🤣🤣So bad....very sad😔.....sa itakuwaje 🤭????
Nje ya mada hivi Mbwa aina hii ni kizazi gani jamanii mbona kama majini wanatisha kupita maelezo[emoji15][emoji51]
Mi nadhani hakuna binadamu asiyewezekana ukimjulia udhaifu wake😋Utamuweza huyo kaka yangu ana hasira akichukia 😁😁
Kwa sura hiyo ni mpole ajabu kwanza huo mdomo 🙆🏾♀️French bulldogs,, friendly sanaaa sio wakali wao na golden retriever au poodles tofauti ni sura tu ila tabia ni same
hatuitwi hivyo ni cheusi mangala[emoji23]
Ndio wifii nadhani utamtuliza 😁Mi nadhani hakuna binadamu asiyewezekana ukimjulia udhaifu wake😋
Sio mbwa wazuri hao wana hasira sana.. disha zao zinayumba yumba sana.. lazima ujue saikolojia yao...maana hata mlishaji wake kuna mda wana msahahu.. wanampa mambo 😅😅Simtaki kwa bure wala kwa kumnunua siwezi kuishi na kitu ninacho kiogopa 😬
Embu tuone kwanza hizo nywele zenyewe mchuchu
hamtupendi ila mnapenda nanilii zetu😂Ndio km usiku wa balaa?? Siwapendi black mamba ndiomana siwafatilii hata [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Africa wapo kweli au ni huko kwenye haki za wanyama 🤨Sio mbwa wazuri hao wana hasira sana.. disha zao zinayumba yumba sana.. lazima ujue saikolojia yao...maana hata mlishaji wake kuna mda wana msahahu.. wanampa mambo 😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kijiwe pendwaa hiki, acha watu wafurahii bhanaa
Worry out chief😁. Niko stand by 🤒
Kwa sura hiyo ni mpole ajabu kwanza huo mdomo [emoji2304]
hamtupendi ila mnapenda nanilii zetu[emoji23]
Sawa😂🤣🤣🤣🤣🤣Mara mbili? Mbona ulishaniacha kitambo? 🤭 Zurura kwanza utarudi
wapo wengi tu, watu wamefuga hata kwa baby wangu wana hayo madubwashaaa 😅😅😅😅 na mie nina baby jamaniAfrica wapo kweli au ni huko kwenye haki za wanyama 🤨