Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
My coachππ€Sometimes napitia Ili kujifunza maisha yanaendaje zaidi ya niyatambuavyo.....nipo mbeya huku na baridi langu ...........nawaheshimu sana ndugu zangu......Mungu atusaidie tuitengeneze amani ,tufurahi pamoja........Kuna muda sioni kitu Cha kunigombanisha na mwanadamu mwenzangu....maana kama ni sex si tunapeana tu ...easy afu Kila mtu na njia yake....mambo si magumu sana....ugumu wa mambo tunauleta wenyewe.Kunyoosheana vidole ingali hayupo bikra hapa nayo ni kujipotezea muda. Mlale salama wapendwa.
π π π π sex watu wa humu Jf wachoyooo.. sana napambana na hali yangu tuSometimes napitia Ili kujifunza maisha yanaendaje zaidi ya niyatambuavyo.....nipo mbeya huku na baridi langu ...........nawaheshimu sana ndugu zangu......Mungu atusaidie tuitengeneze amani ,tufurahi pamoja........Kuna muda sioni kitu Cha kunigombanisha na mwanadamu mwenzangu....maana kama ni sex si tunapeana tu ...easy afu Kila mtu na njia yake....mambo si magumu sana....ugumu wa mambo tunauleta wenyewe.Kunyoosheana vidole ingali hayupo bikra hapa nayo ni kujipotezea muda. Mlale salama wapendwa.
Ulikimbia mbonaπ nilishaanza kupractise kabla ya kukupractizia ujueMy coachππ€
Oyaaa Sina mbanga hizo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya njoo unipe hela ya kusukia kesho uje unitangaze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Selfika sihamiii kamweee, nsha ghairii kuuza I'D.
π₯π₯π₯π₯
Kuku wako, manati ya nini ππ€πUlikimbia mbonaπ nilishaanza kupractise kabla ya kukupractizia ujue
Embu kakaa kwanza hapa chino akufaidi ndio kwanza amefikaLimeisha hilooo mnywanii Mie treinnah!!
Nasubiria hio blessing nikararee mnywanii do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Oyaa we jomba, uta fanya ka bundle kangu ka mchongo kaisheππ€.π₯π₯π₯π₯View attachment 2727634
Naogopa kwa kweli ππSa Mbona mi una nisemea uongoπ€£π
Vavene wita ndeti, zimefika.Wasalimie mashangazi kaja wote waambie cute wa kikinga anasema Mapembelo
Waogopa nini bibieπNaogopa kwa kweli ππ
Lol Nataka Nikararee mnywanii hapa sikuhizi kuna usengeusenge sana!! Kama ipo mbali utanibles hata kesho mnyaniii akeee ubarikiwe sana!!Embu kakaa kwanza hapa chino akufaidi ndio kwanza amefika
ntaanza kwa kukupea hela ukanyoe! Ujue kusuka Ni ghari Sana eh?Eeee kuna mkate wa bumunda kwetu tunatumia ngano isiyokobolewa utaweza kula??
Na kubana matumizi utaweza?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
π€wee, sema kweli? Nenda nasi taratibu....usiwe mkali....usikwazane na mtu.... wanawake tunatunza sana maneno moyoni....ni ngumu kumkubalia mtu ambaye kashawahi ninenea mabaya .......Afu punguza au acha kuingia selfika .....ingia hata habari mchanganyiko kule..... mwanaume hupaswi kujibishana na mwanamke hadharani.....nimeshtuka kidogo ila nikahisi huenda umeshindwa vumilia....usiingie huku selfika National Anthem ....plzzzπ π π π sex watu wa humu Jf wachoyooo.. sana napambana na hali yangu tu
Nitakuambia yaishe tu, kugombana watu mnaojuana naonaga ni kitu ya ajabu sana.Hakuna kua mnyonge humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Piga nikupige, nasubiri siku yetu tukifurumuana
π€£ Kumbe?π₯΄Kuku wako, manati ya nini ππ€π
Kuambiwa nina njaa ya kufa leo kesho sitoboiππWaogopa nini bibieπ
mcheki kaka yako Rostam Azizi ! kula chumaaa hiyooo π π π πOyaa we jomba, uta fanya ka bundle kangu ka mchongo kaisheππ€.
π Maana ita bidi Nika sikilize Hiyo midudeπππππ