Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbna mapyaaaa hayaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaenda wapi? Emu subiri coca aje kujibu tuhuma kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cna cha kumjibu huyoo, yeye akaanze upyaa, ndoige ya mwaka juzii hatokaa asahauu kamweee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hebu tujie taratibuuu.
Khaaaah

Udugu nasema ukweli km kuna kenge kanitongoza kanihonga pesa alete ushahidi nimuongezee na nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila hii Kantri haimuhusu [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 

mwaka juzi hio nilikua nakujenga hapa jukwaani uache kuliwa butthole huko halafu uwe unakuja kutupigia story zako hapa.

Mie si wa kukosa soko, we ukiniona utathibitisha hilo, sijafika 40 na sijafika 35, sasa huo utu uzima unaonipa sijui hizo ramli umepatia wapi.

Mtu anayenifahamu ni Post M-alone uje umuulize status yangu kijana. Pumbuvu.
 
Hio ipo sana humuu shoss akee hujaizoea tu??!
Khakhakhaaaa!! kwa unaa uliopo humu walikua wanamtumia sana picha zangu na blah blah kibaoooo eti wanamshauri nyieeee! Afu anayaleta kama yalivoooo!! [emoji4][emoji4]!!

Dj waleteeeeeeee!!!
Hivi kwann watu hawajiamini na misura yao iliochachuka mpk watumie pic zetu wapenzi wetu jamani khaaaaaa!!!

Wawe wanatuma mapanki yao Mxxiewwww
 
Nimsuuze mara ngapiiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anatafuta ahueni ya nilivyo mfurushaa mwaka juzii,

Ile ni kubwaaaa, na haitokaaa ijirudieee, anaweweseka hadi leoo. Wee muulize akupe habariii.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…