Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shostitoooo unateseka na mie, na nitakutesaaa sana, mwenzako mifupa na kalio gumu lakini wa kunizagamua wapoo km sio yupoo,

Vipiii wee mwenzangu uliyekosa sokooo? Wa ku date na wanawake utakua wee? Unawajua kwanii??
Wee mwenyewee mwanamke toleo jipya na hujikubaliii badoo, kutwa hasira na makasirikooo,

Shost sema na mambo yakooo, yaan huna jipyaa kwangu, nilisha kufurusha mwaka juzi, unabaki kugugumia na kuhadaika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wajomba maresh msio jikubali na watu wazima sina mda nao, huwa na deal na rika na type yangu.

Poleeeee weeee.
 
Hivi mbona nilishaacha kukutag tangu ile siku ulivotumwa nahao wanawake zako wewee mtu!!
Antonnia tuache shangazi yangu mzuri.
Ebu tuache ingiza wasio husika.. Hapa nipo mie na wewe..
Sijatumwa na hawawezi nituma. Tuachane na hili. Nyie wote ni binadamu mnaishi lolote na chochote chaweza tokea na yoyote anaweza akawa msaada kwa mwenzake.. maisha ni fumbo.. hakuna aijue kesho. Yufanye upendo utangulie mbele.. Sijatumwa na mtu.. Usihisi hivyo πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™.. Tuachane na hilo pls..
 
Oyooooooooo!! Eti wanamponda udugu wangu ana tako gumu km jiwe??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shem mwambie coca alivyo chombo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakuja na I'd mpya kila siku, wananikuta na ile ile, na bado wanayavagaa vibayaaa.

Uduguuuuu waleteeeeeee,
 

Oyooooooooo!! Bora mana alikunanga udugu mpe vidonge vyake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…