YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 24, 2023 #371,301 Antonnia said: Wee cocastic na Cute Wife kwani Humu kuna mababu wangapi??? Mi najua kuna babu mmoja tyuuuu Grahams hakuna mwingine !! Click to expand... Sio Grahams huyo babu la kizungu halina kona kona
Antonnia said: Wee cocastic na Cute Wife kwani Humu kuna mababu wangapi??? Mi najua kuna babu mmoja tyuuuu Grahams hakuna mwingine !! Click to expand... Sio Grahams huyo babu la kizungu halina kona kona
CAPTORHINOMORPHS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2019 Posts 3,066 Reaction score 7,650 Aug 24, 2023 #371,302 Intelligent businessman said: Sema ziki haribika, halafu uwe na hela ya ngama. Ni kisanga mzee Click to expand... As long manufacturer wa hzo brake ni wa huku huku, spare ni nyingi mnoo
Intelligent businessman said: Sema ziki haribika, halafu uwe na hela ya ngama. Ni kisanga mzee Click to expand... As long manufacturer wa hzo brake ni wa huku huku, spare ni nyingi mnoo
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,131 Aug 24, 2023 #371,303 Hometown
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 24, 2023 #371,304 Intelligent businessman said: Sema mna vijembe??? Click to expand... Wee sema kweli?? Sa itakuwaje?
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Aug 24, 2023 #371,305 Intelligent businessman said: We uko kwenye 47-55 Hapo, Leo ndo nime juaaa ukweli😂😁 Click to expand... Hahaha...........huo ndiyo umri wa 2nd born wangu, maana Babu yenu niliwahi kupata mtoto. Miaka yetu ilikuwa ukimaliza darasa la 4 la Mkoloni tayari unaruhusiwa Kuoa 😅 Sio nyie Timu kataa Ndoa 🤪
Intelligent businessman said: We uko kwenye 47-55 Hapo, Leo ndo nime juaaa ukweli😂😁 Click to expand... Hahaha...........huo ndiyo umri wa 2nd born wangu, maana Babu yenu niliwahi kupata mtoto. Miaka yetu ilikuwa ukimaliza darasa la 4 la Mkoloni tayari unaruhusiwa Kuoa 😅 Sio nyie Timu kataa Ndoa 🤪
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Aug 24, 2023 #371,306 Intelligent businessman said: Chuki na arosto zita kuchosha, ila kwenye group la machizi we ndo unaye ongoza. 👉 Why umdiss mwana National Anthem kisa kipi??? Click to expand... Toa shobo zako dogo !!
Intelligent businessman said: Chuki na arosto zita kuchosha, ila kwenye group la machizi we ndo unaye ongoza. 👉 Why umdiss mwana National Anthem kisa kipi??? Click to expand... Toa shobo zako dogo !!
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,469 Reaction score 96,918 Aug 24, 2023 #371,307 donlucchese said: Hometown View attachment 2727184 Click to expand... More love less ego 💪
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,469 Reaction score 96,918 Aug 24, 2023 #371,308 Grahams said: Hahaha...........huo ndiyo umri wa 2nd born wangu, maana Babu yenu niliwahi kupata mtoto. Miaka yetu ilikuwa ukimaliza darasa la 4 la Mkoloni tayari unaruhusiwa Kuoa 😅 Sio nyie Timu kataa Ndoa 🤪 Click to expand... Mkuu Ume Anza😂😂, yaani wewe una 70- second born wako ana 60😂😂
Grahams said: Hahaha...........huo ndiyo umri wa 2nd born wangu, maana Babu yenu niliwahi kupata mtoto. Miaka yetu ilikuwa ukimaliza darasa la 4 la Mkoloni tayari unaruhusiwa Kuoa 😅 Sio nyie Timu kataa Ndoa 🤪 Click to expand... Mkuu Ume Anza😂😂, yaani wewe una 70- second born wako ana 60😂😂
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,469 Reaction score 96,918 Aug 24, 2023 #371,309 CAPTORHINOMORPHS said: As long manufacturer wa hzo brake ni wa huku huku, spare ni nyingi mnoo Click to expand... Maybe kwa huko mbele, ila Nilikuwa na giant- ile yenye big tyres- na double gear. 👉Siku Ime haribika, nili tamani kulia aise🤒
CAPTORHINOMORPHS said: As long manufacturer wa hzo brake ni wa huku huku, spare ni nyingi mnoo Click to expand... Maybe kwa huko mbele, ila Nilikuwa na giant- ile yenye big tyres- na double gear. 👉Siku Ime haribika, nili tamani kulia aise🤒
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Aug 24, 2023 #371,310 Intelligent businessman said: Mkuu Ume Anza😂😂, yaani wewe una 70- second born wako ana 60😂😂 Click to expand... Nina 78 kijana wangu wapili ana 45 Wa kwanza ana 51 Sasa tunastahili kuota Mvi kila mahali 🤪
Intelligent businessman said: Mkuu Ume Anza😂😂, yaani wewe una 70- second born wako ana 60😂😂 Click to expand... Nina 78 kijana wangu wapili ana 45 Wa kwanza ana 51 Sasa tunastahili kuota Mvi kila mahali 🤪
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Aug 24, 2023 #371,311 Grahams said: Nina 78 kijana wangu wapili ana 45 Wa kwanza ana 51 Sasa tunastahili kuota Mvi kila mahali 🤪 Click to expand... Wee babuu hauna ka selfii mjukuu nionepo mvi!🤔😊
Grahams said: Nina 78 kijana wangu wapili ana 45 Wa kwanza ana 51 Sasa tunastahili kuota Mvi kila mahali 🤪 Click to expand... Wee babuu hauna ka selfii mjukuu nionepo mvi!🤔😊
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 24, 2023 #371,312 Antonnia said: Ile haikunisaidia afu ilikua ya bei kweli hii ya mitishamba tu ndio imenisaidia afu ya buree tu mwenyewe Ndio niliamua kulipa fadhila! Click to expand... Mwee Bossledi Naomba na mimi uniulizie kama ana ya aleji ya pia(Nyama za pua) Yaani za mfumo wa upumuaji.
Antonnia said: Ile haikunisaidia afu ilikua ya bei kweli hii ya mitishamba tu ndio imenisaidia afu ya buree tu mwenyewe Ndio niliamua kulipa fadhila! Click to expand... Mwee Bossledi Naomba na mimi uniulizie kama ana ya aleji ya pia(Nyama za pua) Yaani za mfumo wa upumuaji.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Aug 24, 2023 #371,313 Saint Anne said: Mwee Bossledi Naomba na mimi uniulizie kama ana ya aleji ya pia(Nyama za pua) Yaani za mfumo wa upumuaji. Click to expand... Poapoa ngoja nimuulize!! Kwamba kuna vinyama puani vinamfanya apumue kwa shida??
Saint Anne said: Mwee Bossledi Naomba na mimi uniulizie kama ana ya aleji ya pia(Nyama za pua) Yaani za mfumo wa upumuaji. Click to expand... Poapoa ngoja nimuulize!! Kwamba kuna vinyama puani vinamfanya apumue kwa shida??
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Aug 24, 2023 #371,314 Antonnia said: Wee babuu hauna ka selfii mjukuu nionepo mvi!🤔😊 Click to expand... Ngoja niangalie picha yangu ya Mwaka 47 Soon Mjukuu
Antonnia said: Wee babuu hauna ka selfii mjukuu nionepo mvi!🤔😊 Click to expand... Ngoja niangalie picha yangu ya Mwaka 47 Soon Mjukuu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 24, 2023 #371,315 Antonnia said: Poapoa ngoja nimuulize!! Kwamba kuna vinyama puani vinamfanya apumue kwa shida?? Click to expand... Ndiyo Na ukikaa mazingira ya vumbi unapiga chafya sana Ukivaa nguo za uvundo unapiga chafya Inshort ndani ya pua kunavimba Inapelekea upumue kwa shida muda wote. Sasa dawa za hosp nimetumia hadi nimekata tamaa
Antonnia said: Poapoa ngoja nimuulize!! Kwamba kuna vinyama puani vinamfanya apumue kwa shida?? Click to expand... Ndiyo Na ukikaa mazingira ya vumbi unapiga chafya sana Ukivaa nguo za uvundo unapiga chafya Inshort ndani ya pua kunavimba Inapelekea upumue kwa shida muda wote. Sasa dawa za hosp nimetumia hadi nimekata tamaa
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 24, 2023 #371,316 Grahams said: Ngoja niangalie picha yangu ya Mwaka 47 Soon Mjukuu Click to expand... Nasubiri granpa
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Aug 24, 2023 #371,317 Saint Anne said: Ndiyo Na ukikaa mazingira ya vumbi unapiga chafya sana Ukivaa nguo za uvundo unapiga chafya Inshort ndani ya pua kunavimba Inapelekea upumue kwa shida muda wote. Sasa dawa za hosp nimetumia hadi nimekata tamaa Click to expand... Sawa ngoja nitaongea nae!
Saint Anne said: Ndiyo Na ukikaa mazingira ya vumbi unapiga chafya sana Ukivaa nguo za uvundo unapiga chafya Inshort ndani ya pua kunavimba Inapelekea upumue kwa shida muda wote. Sasa dawa za hosp nimetumia hadi nimekata tamaa Click to expand... Sawa ngoja nitaongea nae!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Aug 24, 2023 #371,318 Grahams said: Ngoja niangalie picha yangu ya Mwaka 47 Soon Mjukuu Click to expand... Sawa babuu tunasubiria!
Grahams said: Ngoja niangalie picha yangu ya Mwaka 47 Soon Mjukuu Click to expand... Sawa babuu tunasubiria!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Aug 24, 2023 #371,319 Cute Wife said: Irudiwe yaani leo makastoma wamenitinga kijiwe kimechanganya had napitwa na mselfie wa shem Click to expand... nigawie maokotooo
Cute Wife said: Irudiwe yaani leo makastoma wamenitinga kijiwe kimechanganya had napitwa na mselfie wa shem Click to expand... nigawie maokotooo
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Aug 24, 2023 #371,320 Cute Wife said: babuu atajinyonga mbona wote mnamkataa sasa?!! Click to expand... afu alikua kipenzii chao. Woiiiiih
Cute Wife said: babuu atajinyonga mbona wote mnamkataa sasa?!! Click to expand... afu alikua kipenzii chao. Woiiiiih