Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nyama sipendi kama imepikwa vibaya
Ila ikikolea viungo
Tangawizi na kitunguu swaumu Cha kutosha kabla haijapikwa
Hapo hata ukichemsha tu inannoha ..hata Kila siku nakula

Ni vile tu hela sina.
Nilipata dawa ya alergy ya nyama buana sikuhizi kam kauwaaa😋😋!!
Afu dawa ya kiasili tu ya mitishamba!!
Wahaya kwa traditional medicine wapo vizuri sana!!
 
We kweli?
Na Mimi nataka
Vipi Ile ya Ngariba 1 aliyokuahidi ilisaidia?
Sema unatakiwa uitumie majani yakiwa bado mabichi hayajakauka unaitumia na nyama!!

Mimi nilikua nikila Mwili wotee unavimbaa + kuwashaa + tumbo linaumaaa balaaa ilikua ni kujikuna tu ukijikuna ndio vinazidi kubimba!!
Ona mfano wa mkono hio siku nilikua nimeonja vipande viwili tu!! Viwili
Hapa ilikua baada ya kutumia dawa ya Ngariba nikasema ngoja nitest alooooo🙌🙌🙌🙌!!
 
Wee cocastic na Cute Wife kwani Humu kuna mababu wangapi??? Mi najua kuna babu mmoja tyuuuu Grahams hakuna mwingine !!
uduguuu wetu Cute Wife anasema babuu, sasa nilipo unlock code, kumbe sio babuu, ni kijana wa makamo, ila uduguuu wetu ana muita babu kwa 7bu zake binafsi.

unaambiwa nae ana mpdf, wacha watu wavurugwe wautue humu ndaniii.
Mbna hatariiiii
 
Back
Top Bottom