Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Ntakua sina picha yakupost!😕😉😉 nilisahua kuchukua picha.. sa itakuwaje
Ntakua sina picha yakupost!😕😉😉 nilisahua kuchukua picha.. sa itakuwaje
😅😅😅 kesho nitapiga picha nitaacha videoNtakua sina picha yakupost!😕
Yeahhh ☺️😅😅😅 uliona eeeh.. nilitaka kutuma CIA
😅😅😅 ningeuza nyumba yetu na ule mgahawaYeahhh ☺️
Kweli kuna umuhimu wa kuaga, resources zisije zikatumika vibaya!😁
Ile nyama hata aioshe mapemaNna za Mlimani tu!🙂
Ila anazingua....hata kama ndio anachanganyikiwa na TV, si angekua anachemsha vitu vyake taratibu huku anaendelea kuburudika.😬
Aisee, anapenda shari sana huyo😂😂😂Ameshauza ID sasa anakula maisha huko Peramiho 🤣🤣🤣
kwa kweliWe endelea kuchezea bahati,🤣
Mjep mzungu,
Huwa haongei mara mbilimbili
Hapo ungezingua!!!!😟😅😅😅 ningeuza nyumba yetu na ule mgahawa
Kapo MbingaAmeshauza ID sasa anakula maisha huko Peramiho 🤣🤣🤣
ningekulaumu sasa 😒😒Hapo ungezingua!!!!😟
🤣🤣🤣🤣 Hopefully itasaidia!!Ile nyama hata aioshe mapema
Aweke kwenyw friji iendelee kukolea viungo hataki.
Anakuja kuitoa muda wa kupika ndo anaenda kuosha
Imepoa
Friji chafu linanuka
Ameweka hivyohivyo.
Ikifika jioni ndio anaibabua fasta kwenye gesi
Amemaliza.
Nilimwambia sister kifurushi kikiisha hakuna mtu kununua.
Akawa haelewi,
Juzi alivyokula njegere mbichi akanyoosha mikono juu😂🙌
Ningelia sana!!🥺ningekulaumu sasa 😒😒
Mkubwaa🤣🤣🤣🤣 Hopefully itasaidia!!
Ila anaonekana ni wale watu wanaopenda kufuatiliwa na kupigiwa kelele kila saa. Au bado mtoto sana?
tungebembelezana tu 🙁🙁Ningelia sana!!🥺
Kubembelezana kungesaidia nini??🤔tungebembelezana tu 🙁🙁
kufuta machozi tu 😒😒... au tungeomba waturudishie mali zetuKubembelezana kungesaidia nini??🤔
Uduguuu wee mkinga wa makambako au mtwango? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Km anaweza aje uliona wapi mkinga karogwa??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Babu nitamuota [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu niwacheee, eboooohBabu migambuti ananikimbiza udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui nacheka nn, lolHee
Kwani Coca mmeachana?