Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,510
- 96,057
Hahahahaha
ohoo πππMjomba tutauana
Asante jirani, nitakaribia soonKaribu kwetu jirani
Itapitia na huku kwetu ukitoka kwa jirani yakoAsante jirani, nitakaribia soon
Nashukuru Mungu sote tuko salama mnywani!hope unaendelea vizuri mnywani.
Ushauri mzuri Mkuu.Hebu acha uwekezaji was kamari we mzee, mpaka Leo una depend Kwenye kitu usicho kuwa na uhakika Kita kuwepo???π€.
π Chimba hata kisima, andaa hata mfumo- uvune hayo maji ya mvua.
πMvua Ni nzuri, ila Hauwezi kui limit or balance??- maji yakizidi katika mazao uta fanyajeπ€
Halafu kilimo Cha umwagiliaji, kina kupa uwanja mpana wa kuinhia mzigoni muda wowote. Grahams
π Endelea ku bahatisha Kama uja umia ka National Anthem aliye itegemea mbususu ya kiarabuπ€£ππ aka Baki ana Lia Liaπ€£πππ
Nitumie nauliItapitia na huku kwetu ukitoka kwa jirani yako
Nauli utakula labda nimuombe Kibungo akupeπ π πππNitumie nauli
Unga wa ngano....?Huo unga wa miguuni ni wa nini
Ufanye kurudia basi!π
Mwanafunzi una supp tayariπDarlin karibu tichaπView attachment 2725912
Poleni π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Unanionea ticha, bia moja kwa siku haina shidaπMwanafunzi una supp tayariπ
Unakunywa asubuhi yote hii, huogopi
ππππUnanionea ticha, bia moja kwa siku haina shidaπ
Ndio unakandika vizuri kwa chapati!πππ kwa nini miguuni na si mkononi?
Khaaa abs ticha basi sipost tena picπππππ
Naona unataka na abscond kabisa, maana ya kwanza itazaa ya pili mpaka utoke hapo uko chakari
Usijali, post ili niwe na ushahidi kabisaπKhaaa abs ticha basi sipost tena picπ