cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,288
- 187,945
Mbna hatariiii mama sinyariii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongkong?? Yangu ya Guangzhou ya bei cheee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna hatariiii mama sinyariii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongkong?? Yangu ya Guangzhou ya bei cheee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
data saver haina raha 😅😅 napenda picha quality ya juu kabisaa sipendi chenga chengashida wewe una view ma video ya 5k🤣😂😂, kwani sehemu ya data saver huja Iona🤣😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atajua hajuiii. WoiiiiihHajalia kweli babu?? Muwe na huruma matapeli mpk wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio vizuri
sikuachiiii.. ebu imagine.. pepo mwenye mguu kusimamia mguu mmoja anagonga hodi.. utamshikia kisu au upanga... 😅😅😅😅Niache😂😂
Mbalali? Unahama tu location, vipi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulikua mpwapwa, ukawa ddc, sa hii upo mbalali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu wallah.Muda sio mrefu nitakua unga limited [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itabidi uni alike Kwenye Wi-Fi yako🤣😂, Kuna baadhi ya documentary za tech na business Sija angalia🤣😂data saver haina raha 😅😅 napenda picha quality ya juu kabisaa sipendi chenga chenga
😅😅😅😅 tuchange tununue 200GB speed isiyo na ukomoItabidi uni alike Kwenye Wi-Fi yako🤣😂, Kuna baadhi ya documentary za tech na business Sija angalia🤣😂
Oya Kuna mtoto white mmoja anaitwa zenana! Ana balaa uyooo anafunga huyooo.😅😅😅 hela niliyo acha pale unajenga mjengo chumba na sebule.. alafu nili muwini vipi. nilikuwa nakaa pale Blue bird.. wakati mwingine nilikuwa namuita tunakaa room tunapiga story sanaa , alafu namuachia hela bila kumkaza.. akanipenda sana akawa ana share na mie hadi mambo yake ya ndani kabisa... so mie pale home hata nikienda sina mie nakula mkopo
Jeshi ni muhimu katika taifa, ila kwangu ingekuwa jau Sana🤣😂😂.😅😅😅😅😅 nisingeweza kuwa mwanajeshi mie .. nisingeshindwa toa siri zenu kisa utraamu... Si kipindi tunamaliza chuo tulikuwa tunachukuliwa sana.. siku hiyo kila kitu nimeweka sawa nikaishi getini nikarudi huyo home..
ohoo 😀😀😀Mjomba tutauanasikuachiiii.. ebu imagine.. pepo mwenye mguu kusimamia mguu mmoja anagonga hodi.. utamshikia kisu au upanga... 😅😅😅😅
Labda Niku sindikize uka nunue🤣😂, mi nitakuwa mgeni mwalikwa🤣😂😅😅😅😅 tuchange tununue 200GB speed isiyo na ukomo
Au una kutana na mtoto mchanga, kabeba ndoo mbili kubwa za maji🤣😂😁😁ohoo 😀😀😀Mjomba tutauana
I mean no malice to nobody
Shenz wewe 😀😀Au una kutana na mtoto mchanga, kabeba ndoo mbili kubwa za maji🤣😂😁😁
😅😅😅 mkuu usiku mwema, majaribu hayaaaOya Kuna mtoto white mmoja anaitwa zenana! Ana balaa uyooo anafunga huyooo.
Iddi ile ya ramadhani ya juzi kati hapa
Nilimuagiza dogo ndo akamchukulia Kama matatu nadhani mmoja 28_32k sijui ndio ya aina gani hayo mnajua wauzaji.
Hahaha unavyoijua hela sasa
Una kitu utafika mbali
Mi hata shule sikwenda🤣😂😁, na nili tamani kuzipiga mnada 😂🤣.Mwenzio english sijui vidudu b
Darasani nilikua back bencher na wapiga kelele wenzangu tunapiga umbea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Countrywide njoo unitafsirie wewe si mkali wa ngeli baba me nilikula school fees