Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
hamna kitu
hamna kitu
Nakuja shemMjep nitafute shem nataka nitimize ahadi yangu
We mke mwenza hebu nambie nini mbaya?
Amen brotherBig bro💪, more love less ego 🤒
Niunge tela ili Iwe canter au😀Unga tela
Nakuja shem
Naja chap
Pamoja mzee mwenzio nipo hapa😀😁Amen brother
Unajua Wazee huwa ni watu wa Imani siku zote 🥂
🥰🥰🥰😍😍😍 nikamtolee mahali.. mwanamke kujisitiri.. huyu anaongeza nguvu za ubaba kabisa
Hahaha..................salute Mkuu, hata hivyo huyo ni last born wangu Mkuu 🤪Babu yao
Umetisha sana babu wa mchongo
usisahu sela zetu wala usisl snitch 😅Dah sijui ni solve Bila 4 figure 🤣😂, au 🤣🤣😂😂
Hahaha...............mwenzio nimeanza kuandaa mashamba mapema, hapa nasubiria mvua tu nianze kupanda 🤪Pamoja mzee mwenzio nipo hapa😀😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshee mie, khaaahUnataka naye aanze kutumia Pepsi kushusha presha km Mwachi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenitajia minyama hadi udenda umenitoka, unajua Babu yako ninavyopenda nyama nyingi😋Babuuuu mlezi wa wajukuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajipakulia minyama kwa raha zako!!
Ila picha ni kwa udhamini wa Google 😁🥰🥰🥰😍😍😍 nikamtolee mahali.. mwanamke kujisitiri.. huyu anaongeza nguvu za ubaba kabisa
babu umetisha hapo totoz hawachomoi
kikubwa yupo duniani 😅😅😅Ila picha ni kwa udhamini wa Google 😁
dah! mdada ukifika nyumbani hata kama umechoka uchovu unaisha wenyewe tu 😅😅Anamfikia huyu
duh, mahari shingapiAnamfikia huyu