Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaogopa maneno Madam?
Hata usipochangia mbona utasemwa tu

Maneno yanakutisha?

Binafsi ntaacha kuchangia nikiamua mwenyewe ila si kwa sababu ya maneno ya wapumbavu wachache.
Nishawapotezea,maana hawana kazi,kazi yao ni kutunga tu,
 
Wanatafuta kiki kupitia majinaaa ya watruuuuuu!!

Watu na majina yetruuuuuu buanaaaa😛😛😛😂😂😂😂😁🕺🕺💪💪🤭!
Kiukweli nyotraaa mafusho ni ya kuchuma tu waingie maporini huko 😀😀😀
 
Back
Top Bottom