Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
[emoji23][emoji23] ninajuaKipenseli ana id nyingi huyo kuna moja iko piem imejiongelesha wee me naichora tu!! Anavyoniona humu jukwaani najizima data anajua na piem atanikuta hivyo, msg moja tyr nishajua huyu Y2K sijui kaja na id nyingine kunisumbua tu!
Afu kiliacha namba zake za simu, ningekua mafia ningempa Kantri wamalizane lkn hata Kantri mwenyewe hajui km hata namba ninazo!! Nachukulia ile ki sister Marry wengine bado tuna utu na utulivu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf ina watu achaaa kabisa ila kuna siku nitailetea uzi hii story ya member wa jf bila kumtaja, watu wajifunze na wacheke mana lazima nimsimulie alivyo km mzungu wa kigambonIlee
I mean no malice to nobody ๐ค๐คWala haiko hivyo subiri siku nitailetea uzi ujue kilichoendelea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I was charting with my flower this night and she say this word i enter jf i see this word i remember my flowerheka heka
Ndio hao wanaume kama mabinti? Niwekee list yao hapa wote, siku nikitoka nimevurugwa nakuja kumalizia stress kwao
Please, list majina yao hapa wote. Huu ujinga wa wanaume kuwa kama wanawake huwa unanikera sana.
Nilipanga nisiwe naingiaingia tena huku jf naona hakuna sana issues za maana, lakini hawa naomba wawe wa mwisho mimi kuhangaika nao
[emoji23][emoji23] ninajua
Uliniambia sema ilikua tayari late, ulishafuta chats na kumpiga block. But ningejua kabla angeisoma namba, ilikua ni kumnyaka haraka sanaHujui [emoji1787][emoji1787][emoji38]
Na namba nishafuta najua utazitaka
Uliniambia sema ilikua tayari late, ulishafuta chats na kumpiga block. But ningejua kabla angeisoma namba, ilikua ni kumnyaka haraka sana
Sipati picha, sema wa hivyo live wanakuaga wanyonge sana. Lakini ukweli lazima jasho lingemtoka apate shida kidogo ili apate fundishoJipigie makofi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sipati picha, sema wa hivyo live wanakuaga wanyonge sana. Lakini ukweli lazima jasho lingemtoka apate shida kidogo ili apate fundisho
Arsenal hapanaNjoo tuangalie mpira, mambo yake tumuachie mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Arsenal hapana
Hahaha,Njooni tuselike
Habari za asubuhi chiefHahaha,
Salama kabisa ChiefHabari za asubuhi chief
๐ ๐ ๐ Mambo haya nimewaachia, kuna wapuuzi wengi humu wasio weza ku reason. Ukija mahakani nakutupa dk ya 0.. nina screenshot za kutosha ( folder zima ). Ukicheza na fisi unaonekana na wewe fisi ujueIla mkuu tuna weza fungua kesi๐ dhidi yao, kwa kuku accuse kwa Jambo lisilo wazi๐.
๐Hi Ime kupelekea defamation ya reputation yako.
๐ National Anthem tukutanee mahakamani๐, mteja wangu mshamba_hachekwi ana taka suluhisho.
Napita kwa kunyata๐๐๐๐ ๐ ๐ Mambo haya nimewaachia, kuna wapuuzi wengi humu wasio weza ku reason. Ukija mahakani nakutupa dk ya 0.. nina screenshot za kutosha ( folder zima ). Ukicheza na fisi unaonekana na wewe fisi ujue