Selfika na JF: Snap it. Show it

Sikuwahi kuzifumania habari za kunihusu, isipokuwa leo.

Ila Vijana wajifunze kuwa na siri.

Mbona Sisi wazee tumeweza kutunza, imagine Babu yenu nilikuwa nafanya kazi kwenye Serikali ya wakoloni miaka ile lakini habari ya Kudai Uhuru wa Nchi wazungu wamekuja kuijua tayari tumepandisha Bendera Mlima Kilimanjaro.

Vijana wa sasa si wangemwambia Mzungu siku hiyo hiyo kuwa Wenye Tanganyika wanadai Uhuru wao πŸ€ͺ
 
Unajua nategemea kwenye list yangu uwe wa kwanza kabisa[emoji28]
Ashukuriwe Mungu sijui hawakuwepo hawa kipindi hicho[emoji23]
Zile msg tulikuwa tunaandikiana humu
Akiyanani nyie

Maneno yangekuwa mengi sana.


Kuna watu walinifata kuniuliza kama ni kweli
Nikawaambia mtu mwenyewe sijui hata anafananaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mara kipindi Fulani nikatuma tiketi ya ndege humu
Wakauliza kama nimekufuata Daslama [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…