ππHakika Mkuu, wamenikosea sana Babu yao
Mwee afadhali safari hii nimepumzishwa
Sipo kwneye PDF
Ila Kuna watu hamjawahi pumzishwa,yaani bandika bandua watu wanaeatengenezea matukio tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama wewe boss ledi
Watu sijui wanakuona mnyonge wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uni tag banaπππHaki ya nani tutazichapa kwa bluetoothπ
Aliye jisiribia ni National Anthem [emoji16][emoji16]
My ex upo?Na nilikuwa sehemu network inasumbua
Ningekuwa kwenye network nzuri ningezoa zote
Wao wanaendelea na umbea
Mi najizolea vocha tu.
Hapa wiki nzima nina bando la kucheka jfπ₯
Pacha Ume Anzaπ€£ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Main Code ipo kwenye hiyo heading ya story "Sikulamba sukari" , unless hukufaulu Cuba.Nilisikiaga zamani [emoji3] Kwamba wahusika mmoja amefichwa nimezifuta km unazo nitumie nikamilishe uchunguzi
Tuma kwa basiπ¬Niko nanjilinjii π€π, daslaaam sija wahi fikaπ
Ukiondoka hapa na mimi naenda kulalaπ€Uni tag banaπππ
Ngoja kasimu kapate moto
Kwahiyo unataka Pombe ndiyo isingiziwe [emoji2957]
My ex upo?
Wee babu Afu mbona habari zako kukuhusu humu zipo nyingi sana ujue naona wameamua kutuchafua sisi tuππππππ!!Hakika Mkuu, wamenikosea sana Babu yao
Pole sana madamNimekosa zote hapaπππ
Unachukua vitu vyote hivyoo aisee umeniweza ila mie akilini yake naichukua ubongo .π π π π π mie nimewahi kichwa na mikono
Yaaani sielewi ingekuaje tatizo wengi wamenijua leoπNipo naupiga mwingi kama DP world.
Hizi stori zingezuka kipindi kile tunaandikiana vimemo humu na kubebishana
zingetungwa stori za bongo movie 3π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Yaani Mimi jobless, nimu amini mtu wa kusadikaππ.Tuma kwa basiπ¬
Nacheka cheko kama looteπMpishi leo una raha unakazia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na huyo me ndo namtaka sana kwann yeye ajizibe?? Hapa huyo Penseli ilitakiwa aje alete walivyoanzana lazima kuna vitu naye alichangia
πππAfu habari zako kukuhusu humu zipo nyingi sana ujue naona wameamua kutuchafua sisi tuππππππ!!
Sema Nakuheshimu sana babu yangu najua panapo wazee hakukosekani busara!!
Barikiwa sana babuu yetruuuuπ€ π€ ππ!!
cocastic shougaaangu unapitwaaa hukuu sitaki kusutwa mimi njoo ujionee majengeakaaa π€£π€£π€!