Selfika na JF: Snap it. Show it

Nachokishangaa ni wewe kupata taarifa. Kaka ulifatwa Pm au?

Nani alikufata?
Hizo shots mbona mmoja kajisiliba asionekane? Ni nani?

Mpuuzi apuuzwe tu.
Kwahiyo ulitaka kuamini kabisa kuwa hazitanifikia.? Zilifika zote.

Huyo mmoja aliyejisilibia ndio kiini chenyewe, maana alikuwa anamjaza dogo ili aendelee kutiririka
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…