Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Ebu weka hapa chap hilo fileYaani ni mambo ya ajabu kuna pdf nilitumiwa ni aibu watu wanatafutiwa kazi humu afu wakienda wanaunda convo wanaanza kusimulia jinsi walivyo wabaya sijui vifupi!!!
Yaani mpk unajiuliza hivi mwanaume mwenye akili timamu anaweza kufanya hivi?? Tena ukimuona umri umeenda kabisa na hilo nitalileta ngoja nitoke nilipo nirudi home nikawanywee nilishushe hapa leo wote wasutwe
Ngoma plus plus zitakutanaπππππ
Mie tena, hawajakwambia ntakuambukiza ngomaππ
wachawi watatoka wenyewe π π π π umeona reaction zao .. Mie nifanye kwanza kama nimemaliza walio soma cuba washa elewa..Ukikaa kimya halitaisha Bora mchaw aletwe live yataisha had kufikia saambili kikao kitakuwa kineisha bila hivo haya maigizo hayaishi karibia wiki mada ni hizi uzuri wahusika tupo hapahapa
Nachokishangaa ni wewe kupata taarifa. Kaka ulifatwa Pm au? π€£π€£π€£[emoji1][emoji1]
Shangazi yake na penseli inawezakana vipi ukose data.?
kunguru tena π π π π mbona unanichanga na mie tenasija elewa pale ulipo sema, anaye mfuga kunguru ni Naniπ€π
Haya kaka, malizana huko uje umalizie kunyeshea mvua, maana joto limezidi kweli.Ufupi ipo ; Jana nilijisikia vibaya humu.. wengine tulizoea hapa tuna kuja enjoy na kutoa stress.. ila kila ukiingia watu wanavurugana.. Mie kwa moyo mweupe nikasema hapa tusake wanachonganisha watu.. na kuzushiana mambo ha hovyo kama mlivyo ona .. Katika hayo hakuna hata moja nimetunga nachukua mzigo mzima mzima nashushaaa... Kama kuzushiwa nimezushiwa na watu ambao sijawa hata waona kama mama mchungaji au kadogo kangu ka Saint Anne .. kitu ambacho sio.. sasa huyu tahira anakuja na brabra na mawigi yake π π π π .. achukue furushi lake la Penseli 4.. PDF itayokuja kali sana.. ngoja kwanza nionane na wana hapa ... alafu mie sitishwi sijawai kaa PM na kusengenya mtu..
Kama ni kuni, basi kuzichochea unaweza.Mtumishi mwenzetu Lenie
Eti una njaa ya mahusiano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na soko hakuna[emoji1787][emoji1787]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie
Yaani heri wangewasema micharuko wakorofi..
Ila eti hadi Lenie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ooh.........hadi yale tena, Sijapenda kwa kweli
Bado pdf 1 la mwisho Mjomba natak nikocomfirm na majibu yaonekane japo had Sasa nimebakiza 40% mm si nimesoma Cuba πππwachawi watatoka wenyewe π π π π umeona reaction zao .. Mie nifanye kwanza kama nimemaliza walio soma cuba washa elewa..
Tutaweka wapi Sura zetu, nyote mnajua ukiwa Mzee wa Umri wangu, vitu vinarudi ndani kama vya mtoto wa darasa la 1AWinja winja kiba shwaaa hadharani πππ
ππππNgoma plus plus zitakutanaπ
tahira hilo dada. Muokoeni mie sitishwi na mawigi.. hapa narudia nae muogopa Depal mgonjwa wa figo π π π wengine wote ... alafu au basiUkisikia yalaaaaaaaaπ€£
Nimekosa zote hapaπππMkeka huo..
Hii PDF ni ndeeefu
Hakikisha unaisoma vizuri
Selfika snap it..... show it......
I am so happy today nnimekua maarufu jfπππππππ
Khaaaaa mbona we huogopiππ
Una utani wewe
[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi za kwangu zilipita nililala kwani ameniacha bas Yani shwaaa hajali hata shangazi zake [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtafanya tuwapigie watu wa Breweries msiuziwe Vinywaji leo hadi Mwakani π€ͺBabu lipo lingine nalo age yenu lina pdf lake ngoja tulewe turuke vzr watu wajiheshimu
ππ[emoji1][emoji1]
Huyo mwanamke mwenzenu aache uchawi banaa.. Mie humu sina site na mambo za watu.. Nashusha mkeka sawa sawa na informer wanavyonipansiongezi hata nukta.. πHaya kaka, malizana huko uje umalizie kunyeshea mvua, maana joto limezidi kweli.
ππππI am so happy today nnimekua maarufu jfπππ
mkeka wa mwisho nataka ulinzi kama Mjep π π π π π .. bila ulinzi itakuwa ni patashika hapaBado pdf 1 la mwisho Mjomba natak nikocomfirm na majibu yaonekane japo had Sasa nimebakiza 40% mm si nimesoma Cuba πππ