Selfika na JF: Snap it. Show it

Aunt Mimi sijawahi kuwa na ugomvi na mtu na Wala sitarajii kuwa nao sinasababu ya kugombana kama mtu alimua kunikosea Kwa hiyari yake nilishasamehe ndio maana hata sihangaiki na mtu kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hehehehe hallowww
Watu Kaka na dada zao mjiniiiiii.

Nacheka km mazuriiii, uwiiiiiih
 
Dah kabla ya kuleta hapa ungeniuliz na mimi kwa upande ukapima mzani kwa namna hii unayo tumia utagombana na watu kumbe mchawi jirani yako
Mchawiii jirani yako ganiii?? Ni weweee ndo ndumila kuwiliii nani hakujuiiii?? Utuelezeee vizurii ulivyokua unaya banangaaa humu ndaniiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli umbea ni kipaji

Nasoma ila sielewi chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…