Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna Mwachiluwi kutoa maneno huku kupeleka huku ( hii sio kabisa ) ...hapa ni stress free zone tusichoshane... nakuja na mwingine.. natembea ila tutafika tuu.. tunataka tukae kama zamani... hizi biashara za kuchochea moto sio kabisa

upasuaji unaendelea
@Mwachiluwi umetajwaaaaa njooo hapa, ndo nilikua nakutakaa sanaa wee,

Ahsanteee, mtejaa wangu nshampataa ntadeal nae keshoooo.

Weraaaaaa weraaaaaaa. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Huyu wa kwanza [emoji736] maneno yapi ya cute kukazwa na Jack sasa hapo??!!!

Tapika baba tulale tuwahi kuuza vijora mana tunahangaika kweli kupata pesa afu ma sponsor wapo humu tunapewa afu hatujui
 
hapa kila giza likemewe.. na kila wanaochochea maugomvi wakemewe tunataka kijiwe chetu kiwe safii kama zamani.. banaa
 
Huyu wa kwanza [emoji736] maneno yapi ya cute kukazwa na Jack sasa hapo??!!!

Tapika baba tulale tuwahi kuuza vijora mana tunahangaika kweli kupata pesa afu ma sponsor wapo humu tunapewa afu hatujui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuuu sikuweziiii kwa kweliiii. Khaaaah utakausha watu kizaziiiii.
 
Back
Top Bottom