Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

subiri kwanza nikashikane shikane.. banaa hujaona ombi hilo na limepita

Hapana lipua kwanza kabla hujatekwa na Wagner wakakubadilisha maneno

Yaani umenifurahisha emu endelea bana, wewe tapika huo ndio uanaume sasa tunaoutaka twende kazi [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Ataje na wanao eneza hayo magazetii, na pia ataje crews mbali mbali, kuna mapapai tunataka kuyabananishaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ataje na wanao eneza hayo magazetii, na pia ataje crews mbali mbali, kuna mapapai tunataka kuyabananishaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani afunguke yote bila chenga si anataka amani?? Baba yamwage tujue wachawi wetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mie nifumue midude hapa tupoteane [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa!!!%

Naona wamemkimbiza asitoe shenzy
National usiogope njoo uyamwage baba hao mapapai wasikutishe tena fumua mpk kundi lao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
image-2023-08-21-08:19:45-981.jpg

Are you grumpy???

Drink [emoji477]️
 
Attachments

  • IMG_0151.jpg
    IMG_0151.jpg
    314.2 KB · Views: 5
Yaani afunguke yote bila chenga si anataka amani?? Baba yamwage tujue wachawi wetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mie nifumue midude hapa tupoteane [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemaaa fumuaaaaaaaaaaaa!!!
 
Braza umelewa na wewe kama harmo🤣
unajia nini Bro! zamani tulikuwa kama ndugu.. Antonnia utakuta anacheka na Depal au Lenie na cocastic yani hakukuwa na makundi.. kabisa tulikuwa hadi raha hata ukitupia vocha inakuwa rahaa.. kama family.. mambo ya uchawi na watu wachache wachache wanakuuuza mambo sana hukoo.. imekuwa ka jukwaa kakikuda kinoma kila ukoja majungu.. mie nalala nao mbele mmkoko badala ya mwingine...baana nashusha mmoja baada ya mwingine
 
Naona wamemkimbiza asitoe shenzy
National usiogope njoo uyamwage baba hao mapapai wasikutishe tena fumua mpk kundi lao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu uko motooo sanaaa, wee tembea na beat, Selfika iko zaidi ya uijuavyooo.
 
Back
Top Bottom