Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tenaaa?? JF sihamiiii.
Mie nalipua hapa.. kwanza kule wanasema Jack anapiga Cute wife, Nation anapiga Lizzy, antonn anapigwa na graham, cocca anapigwa na mjep, deap anapigwa na country, lenie anapigwa pia na jack.. naendelee subirini kwanza.. natapika hapaaaa.. mtajijua wehyewe
 
Duh......
Shughuli ipooo
 
mie nimeona picha zako, sio kijana wakugoambanisha mbili ingine ile umevaa blue juu haina hata kaua na zile zingine

Sasa zile mbona nilipost mwenyewe hapa na Kantri anazijua na alishaziweka kwenye avatar yake sana
Haya ukiziangalia nafanana na hao wabibi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Mie nalipua hapa.. kwanza kule wanasema Jack anapiga Cute wife, Nation anapiga Lizzy, antonn anapigwa na graham, cocca anapigwa na mjep, deap anapigwa na country, lenie anapigwa pia na jack.. naendelee subirini kwanza.. natapika hapaaaa.. mtajijua wehyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe list ndo iko hiviiii? Mbna habari cnaaa? Woiiiiiii

Mjep naomba tufunge ndoa haraka, tusi wa disappoint waja wa JF.
 
Sasa zile mbona nilipost mwenyewe hapa na Kantri anazijua na alishaziweka kwenye avatar yake sana
Haya ukiziangalia nafanana na hao wabibi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
tulia mie nataka kusema ambayo niliona huko ila watu tuachr biashat za kusambiziana uzushi
 
Back
Top Bottom