Selfika na JF: Snap it. Show it

Hawajanifikia ila wanaforce kunifikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilichogundua hawali wakashiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekutwa na lipi uduguuu? Hebu nijuzeee mwenzako, wee sio wa kunificha mie.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo bandama zangu zitapasukaaa.
 
Kuna mambo kwa mazingira yoyote, iwe kwenye real life au huku kwenye fake id mwanaume hapaswi kuyafanya.

Huwa nashangaa sana sijui wanaume wenzetu mnawezaje.

Ukwei kabisa wewe na wenzako mna ukike kike sana. Nilipaswa kumchana mmoja baada ya mwingine, watu wanazuia

Anyway....
 
Halafu na nyie Mana chekesha, a small damn issue ila mme weka debate ya siku 2.
👉Halafu mna disiana kuhusu kipi??, Wakati wote hapa Ni ma keyboard warriors 🤔
👉Kama ume Anza kukasirisha dunia hii ya kufikiri a, ukija dunia halisi SI ndo mta uana🤔🤐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…