Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeeeee mtafukuanaa hadi mjue unafikii hauna umbaliii, na ninawa zoom tyuuuh.

Mie yangu machooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefikiwaaa uduguuuh,
Nacheka kwa sautiiii, woiiiiiiiih
 
Hujacheka vzr nakwambia ni shida humu!! Nimeshangaa mpk ss hivi ile sura ya mwanamke kweli au alikimbia kupachikwa dyudyu kabla hajakauka wakati wa uumbaji??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Ila wew
 
Mimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nachekaaa km mwehuuu, woiiiiiih
 
Mpk wanaume wana vigroup wameungana na wadada kazi yao ni umbea tu!!! Wanakuja piem wanatongoza afu wanasambaza chat na pic zako!! Kuna wengi nimewaona huko piem wanaleta

Tena hii niko serious ladies kuweni makini piem mtaabika nawaambia
Hasa wanaume[emoji23],,, me hawanipati ng'ooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…