Nimemsamehe ili akazwe yeye maana alikuwa na wivu sana[emoji16][emoji16][emoji16]
π π π π πTajiri yangu Mjep jana nimemuomba 70k kanitoa na kasema anidai nimeongezea na hela alio nipa National Anthem ya soda 45k nataka nikanunue zuria jeupe la manyoya GSM MALL kazana na wrwe kuomba
Nilipewa hela ya jezi hapa na MjepNjoo taratibu utuelezeπππ
Uduguuuuu niwaaacheeeeee jomoneeee, nakufa mie woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Utachoka nakwambia km avatar ya wizo [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Braza braza brazaTajiri yangu Mjep jana nimemuomba 70k kanitoa na kasema anidai nimeongezea na hela alio nipa National Anthem ya soda 45k nataka nikanunue zuria jeupe la manyoya GSM MALL kazana na wrwe kuomba
Sikuhizi unaakili sana vijana huko mtaani Ni Wengi mnoπππsijui shida Ni nini hapa ndaniHumu jf domo zege Ni nyingi Sana. Hii ya kuibukia vivuli ndio only option.
Na Hawa dada zangu nahisi some of them Ni rejected huko kitaa na hii ndio only option yao ya kujitutumua. Maninah maana kila siku wanapigania madudu ya madomo zege ya jf.
Uduguuuuu naombaa niwe Referee, [emoji23][emoji23][emoji23]Jamani nimeacha rasmi kugombana kuna mtu anakasirika anatamani ningekua karibu aniwashe makofi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila anayeona me mke mwenzie au adui yake kivyovyote vile aje aniquote na aseme shida yake nini?? Ili tumuombe Mello atupe uwanja tupigane jf iingize mapato [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Washikilie hapohapoHao ndoyo binadamu mdogo wangu
Njoo hapa kwa jesca kikumbi umalizie weekend yakoπ π π Umemaliza mzee wanguu.. Huu ndio ukweli 100%... acha nikafanye yangu sasa.. toto kama zimeshushwaaa mzee
Hiki kijiwe ni nomaππNilipewa hela ya jezi hapa na Mjep
Nilidhani anatania
Sasa nikaja kushukuru.
Ndo eti wanasema tunadate,kanipa hadi hela ya jeziπ€£π€£
Ndo nikawa nasema hapa sijawazuia mimi kushabikia Liverpool chama la Dunia.
hapo sinza au tbt π πNjoo hapa kwa jesca kikumbi umalizie weekend yako
Akija utamuonaMe mgeni humu emu niambie basi, mambo mengi nayajulia hapa hapa [emoji4][emoji4]
Uduguuu mbna taarifa sina? Ntakukanaa.Me tyr kuanzia kwa Mello jf mpk kwao kwa mama ake, hilo waulize wengine wanaobeba pic wanampelekea piem [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuuu selfika waijuaa? Waisikia? Wee hayaa tyuuh,
Ila ndo nimechekaa sanaaa, mbavu zinauma wallah.
ila.mbona mie wa mtaani na ulinikataa hata kunielekeza kwenu tu lolπ πSikuhizi unaakili sana vijana huko mtaani Ni Wengi mnoπππsijui shida Ni nini hapa ndani
Ni wivu tuHiki kijiwe ni nomaππ
Usiache sasa kupokea simu bado nataka ninunue tv flat screen nch 60 nitaomba mchango wakoπ π π π π
Uduguuuuu niwaaacheeeeee jomoneeee, nakufa mie woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mazoea yana tabuuu, uwiiiihKwanza hata hayo mapenzi yenyewe niko serious nayo basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me sipendi pic zangu kuchukuliwa kupelekewa mtu na kuanza kunisnitch kwann hawajiamini??
π π π π ... namsubiri jishangazi kwanzaaUsiache sasa kupokea simu bado nataka ninunue tv flat screen nch 60 nitaomba mchango wako